Moto unawakà Mbagala

Moto unawakà Mbagala

Haijafahamika alienipigia ni mshkaji anaishi mianzini jirani na hapo kokoto nadhani kesho tutazipata habari kwa kina

Kumbe hizo habari umeambiwa halafu unajifanya unajua, nimekwambia weka picha ukaanza kuniponda sijui nikupe kamera mara nimezoea kukariri isitoshe hata mbagala hatupajui.
 
Kuna haja ya aina ya habar kui hariri. Ili kujua ukweli, taarifa hii toka mchangiaji wa kwanza mpaka sasa hakuna uhakika kama huo moto upo mbagara,

Jitahidini mjue kuwa jf haiishii dar ipo dunia nzima so ukipost kitu tafuta na ushahidi hata kidogo unganisha na bandiko lako..

Heb mlioko mbagala leteni ushahidi ili tujitidhishe juu ya tukio hlo
 
Waswahili bwana. Umeona moto unawake badala ya kushiriki katika kuuzima ili usisambae kwa kasi wewe unakimbilia kisimu chako na kuingia humu jf kuandika kama unafukuzwa. Au unajiona kidume kuwa wa kwanza kuripoti hilo tukio
Acha mbwembwe ndugu. Hata ukisoma hiyo habari ya mtoa mada inaonyesha kabisa hayupo eneo la tukio. Sio kila kitu ni kukosoa tu hata bila msingi
 
Kumbe hizo habari umeambiwa halafu unajifanya unajua, nimekwambia wekapicha ukaanza kuniponda sijui nikupe kamera mara nimezoea kukariri isitoshe hata mbagala hatupajui.

Kama huiamini habari we pita tu,mi sio juha kuleta habari isiyo na kichwa wala miguu humu mbele ya watu muhimu that's why nimekwambia leta kamera sio kila kitu mpaka uletewe picha na kipofu asemeje! Jenga tabia ya kuamini unapoaminishwa na kutoamini unapothibitisha jaghjagh!
 
huna akili wwe, nadhani umezaliwa kuanzia 2000 kuja huku, hukumbuki tukio la Isongole Mbeya moto unawaka mwingine anahangaika bado kuchota mafuta

Yani kuuliza swali ndo kukosa akili? kaaazi kwelikweli, ndugu yangu hivi kweli mtu anaweza kusogelea kituo kinachowaka? halafu hivi nikuulize, kuchota mafuta kwenye kituo cha mafuta ni rahisi kama kuchota kwenye gari lililopata ajali? maana navyojua mafuta kituoni huhifadhiwa kwenye matanki yaliyochimbiwa chini, watu wanchotaje? kwa kutumia ndoo na kamba kama mfanyavyo kwenye kisima kijijini kwenu?

Pamoja na kunitusi kuwa sina akili naomba kajibu ya maswali yangu tafadhali
 
Uzi umejaa walimu wa kiswahili kazi ipo, ngoja niachane nao niulize swali hebu tuelekezeni vizuri mbagala ipi ???????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom