Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,570
- 55,128
walifanikiwa kuokoa bia kweli
wamejitahidi kuzimia nazo moto.
walifanikiwa kuokoa bia kweli
chanzo cha moto ni moto mkuu..
Waswahili bwana. Umeona moto unawake badala ya kushiriki katika kuuzima ili usisambae kwa kasi wewe unakimbilia kisimu chako na kuingia humu jf kuandika kama unafukuzwa. Au unajiona kidume kuwa wa kwanza kuripoti hilo tukio
Kasema kituo cha mafuta. Ninaamini kama ndivyo itakuwa ni mafuta yaliyokuwa yamehifadhiwa humo
Taarifa zilizopatikana wakati huu zinaeleza kuwa Moto mkubwa umeteketeza kituo cha mafuta cha Mbagala Kokoto area,nyumba kadhaa pamoja na baa vimeteketea,
huna akili wwe, nadhani umezaliwa kuanzia 2000 kuja huku, hukumbuki tukio la Isongole Mbeya moto unawaka mwingine anahangaika bado kuchota mafutaWanachotaje mafuta yanayowaka? Futa post kabla hawajaiona ukadhalilika mkuu,
chanzo cha moto ni moto mkuu..
huna akili wwe, nadhani umezaliwa kuanzia 2000 kuja huku, hukumbuki tukio la Isongole Mbeya moto unawaka mwingine anahangaika bado kuchota mafuta
Waswahili bwana. Umeona moto unawake badala ya kushiriki katika kuuzima ili usisambae kwa kasi wewe unakimbilia kisimu chako na kuingia humu jf kuandika kama unafukuzwa. Au unajiona kidume kuwa wa kwanza kuripoti hilo tukio
we ni mrundi? ulisomeaga wapi kiswahil? WAATHIRIKA sio WAASIRIKA.
Acha uongo bwana moto sio Mkubwa ila ndio kinamalizikia....hawa nao wamekosea kujenge kwenye kokoto maana mda mwingine zinatoa cheche na moto unawaka...
Huko Mbagala si ndiyo huwa kunalipukaga mabomu?Haijafahamika alienipigia ni mshkaji anaishi mianzini jirani na hapo kokoto nadhani kesho tutazipata habari kwa kina
huna akili wwe, nadhani umezaliwa kuanzia 2000 kuja huku, hukumbuki tukio la Isongole Mbeya moto unawaka mwingine anahangaika bado kuchota mafuta
Sasa mkuu mbona unanilaumu bure,sikuwepo eneo la tukio nimepigiwa tu simu kwenye hiki kisimu changu:sly: