whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,437
Kuna jamaa muislamu namjua alipona ndochi kwa mwamposa
Kila goti kwa Kristo Yesu litapigwa..pokea uponyaji.Nitakuwepo ingawa mimi ni swala tano,tena suruali fupi.
Hakuna namna unaweza kumkwepa Yesu.Bila kusahau nina sigida kubwa usoni hakuna namna.
Maji hayazidi 1500Tsh na Mafuta ni 1000 Tshmaji ya upako ya Mwamposa yatauzwa laki ngapi siku iyo?
Unataka kusema umati mkubwa wote ule , hawana akili mpaka watapeliwe?tapeli la kinyakyusa
Hata shetani ana kundi la watu wanaomfuata piaUnataka kusema umati mkubwa wote ule , hawana akili mpaka watapeliwe?
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
MmmhhhHata shetani ana kundi la watu wanaomfuata pia
,He is one of the best apostle in Africa, God continue to bless him
Kuna jamaa anasema yeye ni swala tano tena ni yule muislam wa suruali fupi.,
Kimuonekano Apostle hata kwà kumuangalia tu, ni ana bonge la sigida usoni.
Anasema "Hakuna namna unaweza kumkwepa Yesu".
Ujue nacheka nini....Hii kitu ni Maajabu kabisa Apostle!!!!
Hakika Arise And Shine ni ya watu wa DINI ZOTE
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app




Kawadanganye wapumbavu wenzako.Kuna jamaa muislamu namjua alipona ndochi kwa mwamposa
Kwani unafikiri stupidity/ignorance inakuwa determined na idadi ya watu ??Unataka kusema umati mkubwa wote ule , hawana akili mpaka watapeliwe?
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Hili swaliBei elekezi ni kiasi gani siku hyo
Tusije kupigwa na watumia fursa
Asante bagheshi, natumai atakuja na jibu la uhakika
Hii tabia ya kuamini mafanikio kwa njia ya miujiza ndo inawafanya vijana wawe masikini.Unataka kusema umati mkubwa wote ule , hawana akili mpaka watapeliwe?
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Njoo uombeee, ushushiwe motoKawadanganye wapumbavu wenzako.
Jamaa kiutani tu anachanja mbuga na mamia ya watu wanafunguliwa.Apostle Buldoza Mwamposa atakuwepo Jijini Mbeya, kuanzia tarehe 29/9/2022 na kuendelea kwà muda wa siku 6.
Watu wa dini zote mnakaribishwa.
Usipange Kukosa!!!!
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
Buku tu!
Bei ya mwananchi kabisa hiiBuku tu!
Mafuta buku,maji buku.
Ila si lazima ununue ya kwake.
Unaweza tumia hata mafuta yako na maji yako ya nyumbani.
KabisaBei ya mwananchi kabisa hii