Moto mkubwa kiwanda cha sigara

Nimeongea na fire wamekubali kuwa kazi yao ilikuwa rahisi, sigara walijiandaa wana matenki ya maji lita zaidi ya milion moja kwa ajili ya matukio ya moto. Tunaiomba serikali ikajifunze Sigara umuhimu wa kuwa na mafunzo ya ajali za moto,kuwa na akiba kubwa ya maji pamoja na vifaa vya kutosha. Nasikia hii ni utaratibu kutoka Japan ndio muwekezaji pale. Bravo Sigara.
 
kingeungua tu watu wetu waepuke mijikansa, na serikali yenuingetia akilo kwenye mapato.
 
Asiseee jf ni zaidi ya cnn wakuu niliziona hizi gari za kuzima moto nikiwa magomeni nikaweka uzi humu janvini nikiuliza wapi kimenuka sasa update zote ninazo zipo mkononi hakuna haja ya kuangalia tarifa ya habari

jf inatosha
 
Back
Top Bottom