Moto jengo la blue plaza-floor ya tatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto jengo la blue plaza-floor ya tatu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IGWE, Jun 23, 2011.

 1. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Jamani kuna moshi unatoka floor ya tatu hapa mjengoni,.floor inamilikiwa na hawa tanznite one.Lakn cha ajabu hawana hata fire extinguisher wameenda kuazima jengo la jirani.Kampuni ya ulinzi ya worrior inafanya juhudi ku-rescue situation.
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Wanateketeza ushahihi ili wasilipe kodi.
   
 3. s

  seer Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nawasifu FIRE wamekuja na maji within time ingawa walikuta wamezibiti!
   
 4. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  eh hizi taarifa nyingine bwana usumbufu hata kuzisoma mtu analeta habari za tukio la janga la namna hii lakini haifafanui ni wapi tukio hilo linatokea je ni Arusha, Dodoma au wapi!! Tujaribu kuweleweshana vyema.
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye blue ndio penyewe....by the way-everything is under control
   
Loading...