Motivational speaker aina ya Dkt. Chris Mauki ndio wanaharibu ndoa za watu

Na pia kwa nini hawa jamaa wanaojifanya wanashauri sana mambo ya ndoa, huwa ndoa zao zimewashinda au zinawashinda ni kwa nn????
 
Mauki anachochea mitafaruku ndani ya ndoa zetu ......shenz kabisa
Anajua kuwa Mitafaruku ikianza. Wake zetu ndo watakimbilia kwake hawape maneno hayo.na wamchangie izo buku30.

Lakini ikiwa ndoa imedumu, una furaha na mkeo, huwezi ona mke anatoka kwenda uko. Ivyo wanawake wengi wanaoenda uko jua kuna kutofautiana na waume zao.

Ivyo hawezi waponda ilihali najua ndo wateja wake. Akiwasema au kuwakemea wanamkimbia anakosa izo buku30.
 
Huyu christina mauki Kwanini mtu mmoja asijitolee kumfanyia ukalumanzira zile sehemu zake nyeti zitwaliwe kimiujiza awekewe kama za menina
 
Huyo Chriss Maluki ni nani? Anamiliki viwanda vingapi hapa bongo? Utajiri wake una thamani gani? Maana niliacha kusikiliza motivational speakers wasiomiliki hata kiwanda cha katani.
 
Huyo mauki ni mchumia tumbo,ukikutana nao na mkewe mfupi kama vicks ya chapa shoka
Mkuu hapo umezengua usikashifu mtu kwa sababu ta maumbile ,aliyeumba ndoo anajua kwanini aliumba hivyo.Right Mungu akupa huo uwezo wa kuumba sijui ingekuwaje.Muheshimu Mungu kwa kazi yake ya umbaji na kumbuka bado upo hai
 
Mkuu Mungu akubariki wewe na ndoa yako
 
Sio tu ndoa, Hawa MS huwa wanaharibu hadi maisha ya watu, Nimemshuhudia jirani yangu mmoja akiacha kazi na kuanzisha biashara baada ya kuambiwa kuwa kuajiriwa ni kunyonywa na hawa watu, Sasa hivi hali yake ni taabani na anajutia maamuzi yake ya kuacha kazi kwa pupa. Kwangu mimi hawa watu ni Scammers tu maana wanaongeana vitu vya kufikirika tu visivyo halisi katika maisha ya kawaida.
 
Huyu bwana kwa kweli kafunguwa "Pandora Box", wanaume wanaowaponda wanaume wenzao kwa kauli kama yake kwake always wanaishia pabaya, tena siku mambo yakimwendea kombo anaweza hata kujitia kitanzi, jinga sana huyu bwana...
 
Umeongea kwa uchungu sana
 
Inawezekana Bwana Mauki akawa sahihi au asiwe sahihi kulingana na uhalisia na mazingira ya jambo kwa muhusika mwenyewe.....wapo vijana wanaopambana kutafuta ridhiki lakini bado Mungu hajawanyooshea lakini juhudi zao zinaonekana kupitia harakati zao kwani mgaa gaa na upwaa hali wali mkavu......lakini pia lipo kundi la vijana wavivu wasiotaka kufanya kazi wakitumia msemo huo kama kichaka cha kuhalalisha uvivu wao........

Kwa hivyo bwana Mauki yuko sahihi kwa vijana wavivu....wanaowarubuni mabinti na kuwafanya waishi maisha ya kufikirika huku wakiogelea kwenye dimbwi la uongo wao usio na mwisho.......lakini hayupo sahihi kwa kuwaweka vijana hao kundi moja na vijana wanaopambana kutafuta mafanikio huku juhudi zao zikionekana ingawa hazijazaa matunda.........

Utampinga Mauki kulingana na uhalisia wako moyoni....na ndivyo hivyo utakavyomkataa kutokana na uhalisia wako nafsini mwako....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…