Natamani watu wote wangechukuwa walau muda katika maisha yao kuwaonesha mama zao upendo. Mama ni zaidi Mzazi...ni rafiki, mlezi, mwalimu, mfariji na kimbilio lenye uhakika usio na shaka.
Hata vibaka waonaochomwa moto, mama zao huwalilia sana!
Proud to see Mama in her old age!
Upuuzi mtupu, yaani munapenda mama zenu mwaka mara moja ?
Waafrika acheni kuiga Wazungu. 
mtu akitaka turushiane maneno machafu au tupimane nguvu anitukanie kwa mama.....aisee zitapigwa!Babu kwanza nimekumiss.pili nimekununia!
Ila nimekusamehe kwa kuleta hili sredi!
Mi mamangu ndo Dah!ila najua alipo she is proud of me!
Kwa wanaosababisha niitwe mama,kisses kwao mingi!
They are my rocks!
Babu kwanza nimekumiss.pili nimekununia!
Ila nimekusamehe kwa kuleta hili sredi!
Mi mamangu ndo Dah!ila najua alipo she is proud of me!
Kwa wanaosababisha niitwe mama,kisses kwao mingi!
They are my rocks!
Mapenzi kwa mama ni kila siku, kila saa na kila dakika.
Na sio iwekwe siku maalumu kwa ajili ya mama, hapo ndipo mimi sikubaliani napo. 
Hahahahahaahh,
Kuna baadhi ya makabila ambayo ukimtukania mama yake lazima zipigwe ngumi za uhakika!!
kwi kwi kwi
kabila langu linakaribiana na wale ambao mkuu wao enzi za mjerumani aliwaachia tabia ya kujinyonga, japo wasomi siku hizi wanajinyonga kwa tai.
lkn cha ajabu ya wanawake utakuta wanawatukana watoto wao kwa kujitukanisha. kazi ipo
Asante sana babu Dark City kwa uzi mzuri......
I am very proud to be a mother...... ni furaha/baraka ya kipekee kwa kweli.
Nimejifunza mengi sana katika hii process ya kuwa mama.
Namshukuru na kumpenda sana mama yangu kwa kunilea vizuri....... lakini namshukuru sana aliyesababisha niitwe mama, mimi peke yangu bila yeye nisingekuwa mama.
ha ha haaa, babu mi nilisema taratibu naona wewe umeiwekea amplifier, lol!
ha ha haaaa :shut-mouth:
ha ha haaa, babu mi nilisema taratibu naona wewe umeiwekea amplifier, lol!
Yes, yeye ndo haswaaaaa wa kushukuriwa, hata wanaopata kwa IVF virutubisho vyatoka kwa hao hao, ni muhimu sana kuwashukuru nyie kwa kazi nzuri.
Huu uzi ulinipita wapi sijui, ila nashukuru kwa kutambua, umama ni raha sana, dhana ya msalaba wala haipo. Na nguvu hii niliipata punde tu nilipoona product yangu mwenyewe, with my eyes, color and lips. Enzi hizo tunatumia nepi, sio hizi dispozabo diaper, maji na kwanga wakawa marafiki zangu, kamba zimefungwa kila mahali, uwii mvua ikinyesha nepi zinachelewa kukauka maan inabidi uanue. Nikajifungia kamba zangu ndani, watu woote wanalalama naharibu mwonekano, lakini i was so excited and so occupied na kijana wangu.
Sijawahi kuwa excited kiasi kile kwenye maisha yangu, not even when zombie proposed.
Kweli tupu, wababa tunawashukuru kwa kufanya ndoto zetu kuwa kweli. Afu sijui kama wanajua, yaani jamaa kila akisababisha kiumbe kuja duniani upendo unazidi. Sijui sababu na wao sura zao hubaki wa watoto? Wakati wa ujauzito ndio kabisa, ni mwendo wa 'mahaba niue', kuna siku nitafuata mtu kazini nikamsubirie:A S 13:
Na kwa wanaotafuta nawaombea wapate, ni furaha kuwa mama, sana sana.