nampenda sana mama yangu.
naungana na wasanii mbalimbali ktk kuwasimia mama zetu:
Bon Mwaitege "MAMA NI MAMA"
2PAC "Dear Mama"
TILDA " Sweet Mother"
Hakuna kama mama!
Kwan kuna mtu anayemchukia mama yake?lete thread yenye akili...loading error...
asante mkuu kwa nyimbo. be blessed!Ni kweli mkuu...nina jamaa zangu ambao wameishia kuwa kama vichaa kwa kuwatelekeza mama zao.
Nimekuwekea baadhi ya hizo nyimbo
Upuuzi mtupu, yaani munapenda mama zenu mwaka mara moja ?
Waafrika acheni kuiga Wazungu. 
R I P, my mamy I love u so much,
Nakuombea kwa Mola akupe uhai mrefu mama yangu!
Nawapenda na kuwaheshimu kina mama wote!
pongezi kwa aliyekuzaa kwa kumkumbuka,mama hafananishwi,kwani kama watoto wote wangekuwa wanajua jinsi mama zao wanavyoumia siku ya kuwaleta duniani sidhani kama kungetokea mtoto ambaye angemdharau mama yake!! NAKUPENDA SANA MAMA.
Upuuzi mtupu, yaani munapenda mama zenu mwaka mara moja ?
Waafrika acheni kuiga Wazungu. 👠