Mostly to Dadaz ( Blind date) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mostly to Dadaz ( Blind date)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbimbinho, Jun 17, 2011.

 1. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wanaMMU.,

  Jamani, mi mwenzenu wiki ijayo ntakuwa na blind date. Huyu shemeji yenu nilimjulia thru rafiki yangu ambaye ni best frnd wake (mutual friend wetu) n since then we've been comunicating through chat or phone. But I never met her n we've been in relationship for more than a year now. She lives n Dar n I live a thousands miles away. (Though we'd been misunderstanding sometimes but I honestly love her n if God wishes, then further notice zitafuata).

  Sasa jamani, naombeni tips kidogo.
  Kwa wadada (mostly) hivi unavyokutana na BF kwa mara ya kwanza,
  1. Ni kitu gani ambacho unakiangalia kwake first time once you see him?
  2. NI vitu gani ambavyo mnapenda/mtapenda your date to have when you meet him.
  Kwa wakaka,
  Waheshimiwa hope mnauzoefu kwenye mambo haya, plz any advice (Mwenzenu ndo naandaa shamba, so lazima niandae pembejeo zote muhimu)

  Note: ushauri with JOkes ruksa, but with Kejeli plz anza kusoma upya hii sentence..!!
   
 2. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Ushasema "Mbwa ukimjua jina wala hakupi shida"

  Inamaana huyo mrembo humjui jina?

  Assume yeye nu Mbwa.
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,972
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Mmmmmm.............!
   
 4. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  hahahahaa.., KakaJambazi vp tena mkuu, ntashindwaje mjua jina wyf to be? jst nataka ni-reach her expectations...!
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Vp tena kaka.., mbona unaguna..!
   
 6. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  His expectations?? Una2tisha...
   
 7. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  komaaa mkuu. Kwa kua ushaanza malizia mwenyewe teh! Angalia mdomo na mchuchuu!
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Awe gentleman but not too gentle!
  U have to make her laugh!
  Listen to her, show interest in what she is doing! (kazi)
  Hold her hands on the first date, don't rush in hugging n kissing! U can kiss her hand though!
  Don't rush on things, be composed n confident!
  Dress well n talk kwa vituo!

  The rest achia Mazingira n nature!
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sina hakika kama napatia gender yako lkn kama ww ni (me),kuwa on tym kny eneo la tukio ikibidi wahi kabla,smartness real matters,jua unaongea nini na kwa wakati gani,usiongee saaaaaana ili pia upate muda wa kumsoma(busara inahtajika zaidi),jiamini kwa kuonyesha ur manhood but humble,be gentle at least kny caring mf.kumsogezea kiti,kummiminia kinywaji at least mara chache n.k as u wish,sidhani kama first date ina mambo mengi story na jokes zitajileta zenyewe..Don't hide ur smile eee..gud cheer:biggrin:
   
 10. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  I concur...
   
 11. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  mkuu inabidi ujiandae vya kutosha tena ikibidi uwe na credit tatu CCC

  C-Cash ya kutosha
  C-Car a good car man hata ya kijapani itasaidia tu
  C- Cellphone ya ukweli sio mchina, tupia kitu cha nokia latest hivi

  Utajenga uhusiano na heshima tosha....harafu uje utupe feed back
   
 12. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  typin error ila nsarekebisha mkuu,
   
 13. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Feedback mtapata wakuu., ila mhhh! hizo credit tatu I think ni nzuri kama ningekuwa nataka kumega na kula kona..!
   
 14. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Thanks a lot WiseLady.

  Copy dat kaka..! thnx a lot..
   
 15. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeshamwona kwenye picha lakini? Tena siyo passport size, I mean full size picture? Kama umeshamwona sawa kama bado nakushauri pata pichaz kabla hujaonana naye.
  Nimepitia huko mara nyingi tu in the past...hasa huku ughaibuni.....kuna siku nilikuwa nasubiri mzigo wa blind date, nilipata kuona picha ya passport size yake, alipotokea ilibidi niage nakwenda bathroom, nikachukua exit ya nyuma na sikurudi tena...alikuwa mzungu lakini bonge la kipipa fulani au transforma 300 lbs, ukija wanugu (blacks) ndio kama tembo watoto.Nawasilisha
   
 16. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Mkuu nshamuona in full., yupo pouwaz, inshort kila kitu kipo sawa...!!!
   
 17. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  sawa mkuu, hongera!
  Angalia mdomo wako tu na jinsi utakavyoji-present na kumwaga sera. Epuka majivuno na majisifu. Kumbuka-1st impression counts!
  Kila la heri
   
 18. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  He he he Mzee wa assumption.
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Uchumba wa siku hizi! yaani hujamuona ushajua kwamba ni wife to be?
   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kweli wewe sharobalo,nimekukubali,
  nadhani kama hana hivyo vyote basi waweza kumwazima kwa muda tu,
  ili akafanyie makarateee au sio?
   
Loading...