Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
upo mwenge sehemu gani?pacha mambo?...ukitaka kunikamata njoo play time mwenge...kama kumnyatia kiziwi...
upo mwenge sehemu gani?
Nipo hapa naoshwa miguu na huyu kaka wa kicongo njoo
maana huo mguu wako kwa kuchana shuka ni noma
ahahaaa si ndo mnayataka nipo hapa kona kuna likaka ninawekewa nyusi za bandia hapawapi hapo...?maana hapo hata mwanaume ukipita wanakuita..."anko karibu usuke"..boh!...
Haya na ww siku hizi umeshindwa kuoga home sio?...na lile jiwe nimekuwekea pale mlangoni?
ahahaaa si ndo mnayataka nipo hapa kona kuna likaka ninawekewa nyusi za bandia hapa
hivi kuna wanaume tena mjini hapa kweli
maana tunavogombania carolait mtaani humu loh..... Kazi ipo
Mtei One ....Nipo na Cantalisia wangu hapa! Tunataka kumelekea kesi wakili wetu @Klokwini kwa defamation
NATAKA KUMRUDISHA Rejao
ahahaaa si ndo mnayataka nipo hapa kona kuna likaka ninawekewa nyusi za bandia hapa
hivi kuna wanaume tena mjini hapa kweli
maana tunavogombania carolait mtaani humu loh..... Kazi ipo
Mtei mambo vp?BAGAH Amyner Cantalisia Smile Rejao Husninyo sweetlady1 Smiling Saint Erickb52 Kongosho Asprin.
Yeyote atakayefanikisha watu hao kupatkana atapata donge nono.
Watajwa hapo juu wanashtakiwa kwa kosa la kuchakachua mada ya wajumbe wengine.
Wakishakamatwa hao itakuwa rahsi kukamata wengne waliosalia..
Wenu Mtiifu katika uboreshaji wa Jamii Forums/Chit- Chat
Mtei One.
Darling kwan Mtei anasemaje,hayo mambo mwachie Kloro nishamdepositia hela yake,Mtei One ....Nipo na Cantalisia wangu hapa! Tunataka kumelekea kesi wakili wetu @Klokwini kwa defamation