Most Wanted Programmers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Most Wanted Programmers

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by mazd, May 3, 2011.

 1. mazd

  mazd Senior Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hi
  Hivi wakuu tunelewa kua most wanted programmer katika dunia hii ni wa language gani?--ingawa nchi yetu ipo chini katika field hii but me as a freelancer, lazima nielewe hili, kama wewe pia ni kama mimi so let us ourselves.

  Kimtazamo wangu nimegundua C/C++ ni most wanted coz
  1.All powerful program was created with C/C++ mfano MS OFFICE, ADOBE PHOTOSHO, AUTOCAD, MAYA , JAVA PROGRAMMING LANG E.T.C
  2.Most mobile software industries like symbian and Maemo (Linux OS founders) use C/C++
  3.Linux Kernel was written in C.

  Do you have any more idea?
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  1.Java
  2.C++/C
  3.C#
  4.Perl
  5.VB

  Objective-C rising rapidly because of Apple.

  Symbian is on the way out, Meemo is almost non existent in the real world.
   
 3. mazd

  mazd Senior Member

  #3
  May 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu Symbian will not die coz wanaoiwacha ni NOKIA tu na waiwachi yote-na Meamo is coming with great speed in the world of secure mobile browsing--Java mbona inapoteza soko sasa, coz kila mtu anahua java and walio wengi wamejiadapti katika jave web apps.
  Thanks for your idea.
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  language yoyote ipo njema cha muhimu uwe umeimaster in deep, Naona sasa C# inakuja kwa kasi ya ajabu sana na pia maprogrammer wengi ambao nimewaona na ninaokutana nao nje ya tz kutoka developed countries wanashift from java, vb kwa kasi ya ajabu kujiunga na C#. mimi nimefanya language nyingi lkn nilipoifanya C# niliipenda sana coz ipo stable and most powerful and best for image processing i.e 200 times better than VB. Pia visual web developer imesimama sana upande wa database
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  ebu toa shule mkuu

  • nini au ni kivipi C sharp iko better kwenye image processing kuliko zingine?
  • Je ina maana software auprogram kama Photoshop au gimp zimeandikwa kwa C#?
  Interested to know
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135

  hapa ni kwamba nilifanya modules kama imaging and special effects, image processing, computer vision, pattern recognition na recommended tool ilikuwa ni C# na ndiyo tulifundishwa hiyo lab. well mimi nilifanya advanced algorithms kama add special effects, edge detection, motion detection etc ambayo unaanza from what is a pixel f(x,y) in discrete form. hii tool ukitulianayo utahama vb, pia kuna libraries nyingi sana
  hapa kuna link (angalia chini: SEARCH) nakupa nilipata shule nzuri sana na kuna kazi nyingi sana za c# ktk maswala ya image processing yaani unaifanya image utakavyo wewe with less effort, quality result


  Search
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Java haijapoteza soko, ndo the most in demand programming language kwa kuangalia stats za site za kazi, Enterprise application nyingi sana zimeandikwa kwenye Java, sema haiko popular sana kwenye desktop ndo maana hauioni labda, na web apps bado ni programming so haimater kama ni web au desktop.
  Plus mobile platform inayokua kwa kasi zaidi Android ni Java.

  Nokia wanaown Symbian sio Open Source tangu April na ndio driving force behind Symbian, wakiitosa wao ndo basi.

  Symbian itaendelea kuexist lakini ni kwa sababu ya transition period, hauwezi kuitupa OS overnight. Smartphone zijazo za Nokia ni Windows Phone kwenda mbele.
   
 8. mazd

  mazd Senior Member

  #8
  May 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sina uzoefu wa C# ila nilivyosikia ni kua it's for Microsfot OS's only--i mean your develop with C++ style and VB simplicity for MS OS only.

  @ Narubongo
  1.Kumbuka kua adobe photoshop amabayo ni program ilioandikwa kwa C++ ni world leading Image processing Program.
  2.Maya 3D amabayo iko na hiyo feature ya kutrak motion za pixel (Video motion Tracking ) pia imeandikwa kwa C++ na UI ya ni kwa Nokia Qt(Qt - Cross-platform application and UI framework — Qt - A cross-platform application and UI framework)
  3.C# yenyewe imetengenezwa kwa VC++.(Modified C++ by Miscrosoft).

  Ila tujiulize ipi iko na soko saivi?--na walasio 2yrs ago.
   
 9. mazd

  mazd Senior Member

  #9
  May 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanks for great idea!!--Do you think migration of NOKIA from Symbian(C++) to WP (Silverlight) will effect, vizee vyetu ambavyo hajazoea simu kua katika mtindo kama wa PC?
   
 10. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ila inategemea nchi na nchi... Kama huku nilipo, 2naweza kukumaind kwa kuiacha PHP! :-D
   
 11. R

  Rogers_ic Member

  #11
  May 3, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyi hangaikeni tu, what matters is how you can use a particular language to develop a program that is impressive and marketable, how good you are in that language is a key concept of what makes a developer most wanted
   
 12. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa lakini pia si unacheki kwenye jobserach websites, unaona most demanding bwana... Point ni demand, sio language...
   
 13. mazd

  mazd Senior Member

  #13
  May 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nitakukubali na mawazo hayo iwapo utasema kama mtu anataka kujiajiri mwenyewe--pengine wewe unaipata java kinoma lakini iliopo katika market kwa sasa na waajiri wanayoitaka ni C# -hapo mkuu utaishia kukodi bila manufaa.Nilazima uende na wakati mkuu--Mfano kwa sasa hatakama unaijua QBASIC (Microsoft first Basic Prog. lang.) juu chini,basi huna dili.
   
 14. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  upande wa mac sipo kabisa huko,ni kweli C/CPP ndio baba, turudi hapo red ni ofisi ngapi zinatumia system developed by C/C++? hapa chini naona umeungana nami sio? C#=java+vb; kama unajua java na vb --C# utaisoma wiki 1 na utapiga mzigo kama kawaida
  --pengine wewe unaipata java kinoma lakini iliopo katika market kwa sasa na waajiri wanayoitaka ni C# -hapo mkuu utaishia kukodi bila manufaa.
   
 15. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  Rogers_ic

  upo right kabisa post yangu ya kwanza nilianza na "language yoyote ipo njema cha muhimu uwe umeimaster in deep" mimi nimeona kwa wenzetu wa nje na IT companies zao ni kwamba wanatafuta mtu aliyespecialize to a specific language let say wanahitaji mtu wa VB,JAVA,C#,C na hawaangalii unadegree au master au phd, nimeona watu wakiomba kazi yaani ukisema sijui unadegree ya sofware engineering hawakuelewi kbs wanataka lang na katika ofisi zao utakuta kuna watu 10 na kila mtu anadeal na specific language.
  na hii pia hata malecturer (simaanishi tz) huwa wanawaambia wanafunzi wafe na lang 1 vinginevyo utakuwa shallow kila idara tho una 1st class degree.


  mazd

  ni kweli kuna language hazina deal kbs mfano turbo pascal hata uwe na phd. Pia ukisema C++ nakubali coz kila mtu na future yake wengine wanataka kufanya kazi microsoft lkn kiofisi sioni umuhimu wa .CPP
   
 16. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  c++ ni object oriented programming language ndio kwa maana ndio basis ya development enviroments nyingi.Hata hivo programming is not about language anymore its more about choice of programming platform that will satisfy project requirement and enhance programmer productivity. Mfano suppose unadevelop app that requre cross platform capablity then huna budi kutumia net framework etc or imagine doing game programming in BASIC au native c++ almost mission impossible.However using Opengl au ms directx task becomes manageable.Binafsi i prefer C# to C++ .Both are OOP but C# has richer library that really simplify lots of mundane tasks eg parsing.
   
 17. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hey programmers stop talking about history and stories of programs . Just let coding. do the talking

  In language of you choice write a simple calcluator program. Interface langauge should be in swahili .

  This is just an Idea.
   
 18. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  Trivial ,why reinvent the wheel.Simply download working calculator code, open source of course /change labels to swahili,recompile and you done.
   
 19. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ok sir but if u can just do waht you have just written.. It may be trivial to you but i like to see how trivial it is.
   
 20. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ohh jamani am sorry tuendeleee na story naona nataka kuiteka thread na kupeleka kusiko.....

  Mi nadhani program ni kitu kidogo sana sidhani kama unahitaji kumaster sana program fulani kwa mazingira ya Tanzania. kama ingekuwa database au web kweli . Sababu hakta hizo program nyingi zinaandikwa kuwa intereface ya database au Web.

  Na kwa tanzania programer wengi kazi yao ni kufanya customsation ya already well wirtten program.

  tuendelee
   
Loading...