pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,364
- 4,048
Uko sawa kabisa, mimi naipenda ile yuko na KEYSHA COLE give it up to me ngoja niiweke tuburudike, maisha yenyewe mafupi.kwenye miti hapana wajenzi bhana,we si ushaona video nyingi za Sean Paul,duh aisee huwa kwenye video zake sijui anawapataje warembo
tatizo ni moja ukisha itanua miguu yake mara kadhaaa mmoja kati yenu ataanza kuwa na michepuko...aaaaaghNi hatari hapa
tatizo ni moja ukisha itanua miguu yake mara kadhaaa mmoja kati yenu ataanza kuwa na michepuko...aaaaagh