Most probable issues raised by TEC with the president, and if not, then TEC?

Most probable issues raised by TEC with the president, and if not, then TEC?

Kama TEC haiku raise issue hizi, basi imejitia unajisi

1. Kupigwa kwa Fr. Kitima and government inaction to investigate the atrocity
2. Utekaji
3. Mauaji
4. Katiba mpya
5. Tume huru ya UCHAGUZI
6. Ufiraji
7. Kesi ya LISU
8. Kesi za ugaidi kwa wanachama na biongozi wa Chadema
9. SILENCE OF SAMIA TO ALL ATROCITIES COMMITTED BY SECURITY AGENCIES PARTICULARLY BRUTALITY COMMITTED BY POLICE AND TISS
10. The way forward
Kama hawakuongelea haya, it is time wasted for nothing!

Soma pia https://www.jamiiforums.com/threads/rais-samia-akutana-na-viongozi-wa-tec-ikulu-chamwino.2461546/

LASTLY KAMA WALIPEWA BAHASHA WAKAZIPOKEA, BASI WAMELITIA KANISA UNAJISI.

Muwe na siku njema.
TEC siyo watu wa theatrics na si chama cha siasa.
Rest assured kwamba TEC huwa hawa kurambi kwa maneno matamu, bali watakuambia tu ukweli wote bila chenga.

Jiulize kwa nini Mama Samia kaamua kuonana na TEC, na jiulize zaidi kama ataonana na Sheikh Mwaipopo.
 
Wewe uliyeambiwa na sheikh wako ngumbaru ndio unajua.

Allah Samia na mwanaye Mtume Abdul wametoa roho za vitoto, wajawazito maelfu,

Sasa kuvunja hiyo MoU anasubiri nini??
Povu lote la nini!
Simply huna ujualo kuhusu MOU. Ungekuwa unajua usingesema eti serikali haitoi pesa kwenda Hospitali za kanisa. Hata hujui kwamba madaktari bingwa wana check Number wanalipwa na serikali huku wakifanyia kazi Hospitali za kanisa
 
Binafsi sina mashaka na TEC na nadhani hao walikuwa na chakusema zaidi hata ya samia.
Hizo Phd hapo una mashaka nazo?
 
Povu lote la nini!
Simply huna ujualo kuhusu MOU. Ungekuwa unajua usingesema eti serikali haitoi pesa kwenda Hospitali za kanisa. Hata hujui kwamba madaktari bingwa wana check Number wanalipwa na serikali huku wakifanyia kazi Hospitali za kanisa
Sheikh, unachojua ni NGONO.

Huna unachojua kingine.

Ngono ngono duniani mpaka hela.


Unafiki, ngono, na ujuha viko damuni.
 
Sheikh, unachojua ni NGONO.

Huna unachojua kingine.

Ngono ngono duniani mpaka hela.


Unafiki, ngono, na ujuha viko damuni.
Pole wewe ambaye hujui hata ngono!
Sijui ni mshamba wa wapi wewe!?
Umekuja lini mjini?
 
Kwa kupokea bahasha, sidhani...

Tunaweza kuwa na mashaka kama angeenda mmoja au wawili....

Lakini Baraza lote au kundi lote hilo lihongwe, ni ngumu....

By the way kanisa ni la Yesu Kristo na Moja ya kanuni kuu ya kanisa lake ni KUTENDA HAKI na KUEPUKA RUSHWA/HONGO Ili kusema uongo na kupindisha haki...

Unadhani wakipokea rushwa ili kumsaliti Yesu Kristo watamwambia na kujitetea vipi kwake ili kuiepuka hukumu ya hasira yake..?
Kusema hili ni Kanisa la Yesu Kristo si kweli kwa sababu ndani yake halina Ukristo.

Ukristo sio suala la Bango au Label. Ni kuwa ndani ya Kristo na kuiishi misingi ya Kweli ya Neno lake. Hii ni taasisi kama taasisi nyingine yenye mfumo wake ambao hauhusiani hata kidogo na Kristo Yesu.

Tuepuke kulitumia jina la Mungu vibaya. Tuepuke kulitumia jina lake kwa maslahi yetu binafsi badala ya Utukufu wake. Mungu atatuhesabia hatia.

KUTOKA 20
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
 
Back
Top Bottom