Most probable issues raised by TEC with the president, and if not, then TEC?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,127
Reaction score
102,074
Kama TEC haiku raise issue hizi, basi imejitia unajisi

1. Kupigwa kwa Fr. Kitima and government inaction to investigate the atrocity
2. Utekaji
3. Mauaji
4. Katiba mpya
5. Tume huru ya UCHAGUZI
6. Ufiraji
7. Kesi ya LISU
8. Kesi za ugaidi kwa wanachama na biongozi wa Chadema
9. SILENCE OF SAMIA TO ALL ATROCITIES COMMITTED BY SECURITY AGENCIES PARTICULARLY BRUTALITY COMMITTED BY POLICE AND TISS
10. The way forward
Kama hawakuongelea haya, it is time wasted for nothing!

Soma pia https://www.jamiiforums.com/threads/rais-samia-akutana-na-viongozi-wa-tec-ikulu-chamwino.2461546/

LASTLY KAMA WALIPEWA BAHASHA WAKAZIPOKEA, BASI WAMELITIA KANISA UNAJISI.

Muwe na siku njema.
 
nonsense 🐒
 
A least 75%yatakuwa japo yamegusiwa kwani na jua wasaa uautakuwa huru kihivyo kwani yote ni yaliyotokea na kufanyiwa kwake KAZI ni chini 15%.Hivyo uwezekano wa mazingira kuwa ni ya kujilinda zaidi dhidi ya lawama ya kutotenda kwa wakati na kwa namna iliyotarajiwa na wengi kama sii na wote.
 
Bahasha Muhimu kwanza.. baadaye ni menu..njaa kali hawawezi kuhangaika na iliyoyataja hapo
 
Hayo uliyoyataja yote ni kelele tu. Wakiwekewa vizuri tu ile MOU ya 1992 baaas hutosikia cha uchaguzi wala katiba wala utekeji
 
Hivi TEC ni tawi la CHADEMA au CHADEMA ni moja ya jumuiya ya TEC

USSR
 
Kwa kupokea bahasha, sidhani...

Tunaweza kuwa na mashaka kama angeenda mmoja au wawili....

Lakini Baraza lote au kundi lote hilo lihongwe, ni ngumu....

By the way kanisa ni la Yesu Kristo na Moja ya kanuni kuu ya kanisa lake ni KUTENDA HAKI na KUEPUKA RUSHWA/HONGO Ili kusema uongo na kupindisha haki...

Unadhani wakipokea rushwa ili kumsaliti Yesu Kristo watamwambia na kujitetea vipi kwake ili kuiepuka hukumu ya hasira yake..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…