Kabla sijasoma post nilishajua kuna link ya freedom = responsibility.
This is why most people believe in god without much investigation.
You see, believing in god absolves one of responsibility. In the worst case scenario, the worst case scenario was part of god's plan.
But if one does not believe in god, the worst case scenario is a subject of one's effort and investigation.
With freedom comes responsibility.
Noblesse oblige.
Ukubwa mzigo.
Hata uhuru wa kujua kutumia kura yako vizuri tu unakutaka ujue kusoma, usome magazeti kila siku kujua siasa zinaendeleaje, ujue vyama gani vya kuvifuatilia na vyama gani magalasha, ujue watu gani wa kuwafuatilia na watu gani magalasha katika vyama hivyo, ujue watu hao wa kuwafuatilia wanapoongelea mambo gani uwafuatilie kwa msingi na wanaposema mambo gani wanafurahisha baraza, ujue kwamba kufurahisha baraza kumo saa nyingine, ujue kwamba kufurahisaha baraza sana zaidi ya kazi ni noma, ujue mpaka wa kufurahisha baraza na kupiga kazi, ujue muda gani nani anatakiwa kufurahisha baraza na kufanya kazi, ujue propaganda ni nini zaidi ya Fid Q!
Halafu ndo ujue kuchagua muwakilishi na kupiga kura.
Si jambo rahisi, ndo maana wengi wana simplify mambo kwamba CCM wanadumisha "amani" na waendelee tu.
Zimwi likujualo style...