deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Mgumu04 natupia hili, function.php ikisababisha login errors kwenye wordpress unalitatuaje hili tatizo kwa kurekebisha code.toa swali watu wapige code
hilo tatizo umegoogle? lina solution kibao onlineMgumu04 natupia hili, function.php ikisababisha login errors kwenye wordpress unalitatuaje hili tatizo kwa kurekebisha code.
=================
Log file linaonyesha hivi:
[Mon Jan 06 10:30:29 2014] [error] [client 78.34.243.22] PHP Warning: Cannot modify header information - headers already sent by (output started at /is/htdocs/wp11219728_2Z29VZF37V/www/wordpresstest/wp-content/themes/skeleton_childtheme/functions.php:1) in /is/htdocs/wp11219728_2Z29VZF37V/www/wordpresstest/wp-login.php on line
==================
hilo tatizo umegoogle? lina solution kibao online
Challenging: functions.php causes WordPress login error - Stack Overflow
Nani kakwambia deejaywillzz hilijukwaa hakuna anaejua Drupal CMS. Nyanya kabisa hiyo. we toa swali lolote hapajukwaani utapata jibu tu.
Siku zote maswali ya Programming yanataka utoe kwanza code zako ili watu wajue ulipokwama. sasa wewe umekuja kwa maneno ujibiwe kwa Code? Unless sema wanaJF hawajui kuuliza Programming Questions
Nenda kajifunze tofauti ya kutokujua na kutotumia kisha urudi wacha nyege mshindo za kishoga. Soma reply yangu vizuri.
Soma replies nilizopata hapa: Sijaona hata moja kutoka kwako wewe unaejua Drupal CMS
Topic 1. https://www.jamiiforums.com/tech-ga...nd-relationships-in-drupal-7-cms-experts.html
Topic 2. https://www.jamiiforums.com/tech-ga...help-with-drupal-7-cms-i18n-module-error.html
Ni mjinga tu asiye na haya ndiyo anaweza kuongea maneno kama haya. I don't think Technologist tena unayetaka ujulikane kama Drupal Evangelist hapa JF unaweza kutoa Reply ya namna hiyo. Anyways malezi nayo yaweza kuwa tatizo deejaywillzz
Habari wakuu toka nimejiunga jf sijawahi kuona programming (coding) question limekuwa solved or kuwekwa mezani na kusuluhishwa kihalali.
My question, are a programmer or theoretical programmer?
Haha. Kwani unajuaje kwamba swali limekua solved au bado au limekuwa solved kihalali??
okay. Stack exchange ina majibu ya vitu vingi sana. Nadhani umefika wakati muafaka badala ya kuuliza maswali ambayo yalishaulizwa stack exchange ni vizuri kwa watu ku brainstorm matatizo ndani ya jamii na jinsi ganio tunaweza kuyatatuta kwa kupitia technology. Challenges za programming katika hiyo task pia zinaweza zingaongelewa. Mfano ishu za kukosekana kwa APIs fulani na vipi tunaweza tukatatua hayo matatizo au ku by pass closed systems. Ningependelea zaidi tuende kwa staili hiyo. Na ni vizuri ma programmer wakatambuana. JF ingeongeza feature ya automatic tagging ingekuwa poa ili kupata relklvant people kwa ajili ya swali unalouliza. Maana muda mwingine unauliza swali wanatokea vilaza from no where wanakuja kuharibu thread. Mimi nitaanzisha hii initiative ya kuja na real world problems ambazo zipo relevant na ?Tanzania then tuna kaa pamoja kuangali9a tatizo hilo linaweza kutatuliwaje kwa kutumia ICTS?
Ni hayo tu