Ili usiwe masikini tafuta fursa fanya kazi pata Pesa Jenga utajiri wako
Mke mkaidi havumiliki ni sawa na maji ukiyaoga umeyaoga labda umkimbie ukisema uishi nae valangati lipo pale pale
Kwa Mimi mwanamke mshenzi/mkaidi (mad woman) ndio mbaya zaidi kuliko umasikini maana anaweza akakufirisi km ulikua tajiri atakuputisha ukawa masikini au km ni masikini kima Cha Kati ukaanguka kabisa ukawa fukara zaidi ya kapuku, fukara wa msongo kwa msongo wa mawazo, fukara kwa Pesa, fukara kwa kuchanganyikiwa, fukara kwa kuvurugwa mwisho wa siku unaenda kujirusha gorofa la 5 baada ya kumaliza Swala kwenye Msikiti wa Makumbusho, Dar es Salaam