Hakunaga mwanamke kichomi tatizo ni we mwanaume kutaka mwanamke aishi the way unavyofkri , wanawake wanalyfe style Lao Iko hvyo na hawawezi badrika kamwe ... Kama mwanamke wako anazini na ni mchawi hayo ndo maeneo mawili yenye mashiko katika suala la kuachana naye
Mkuu, Vita ya UMASIKINI, ni vita kubwa kuliko ya nyuklia. kupambana nayo inahitaji Akili, Maarifa, Utulivu, Busara, Ibada, Bahati, Ubunifu, Kujituma, Nidhamu(Ya hali ya juu), Stress, kukataliwa, consistence na mengine kibao.
Umasikini una gharama za kupambana nao, kisha gharama za kuzuia usikurudie huku ukiendelea kupambana nao hadi unaingia kaburini.
Acha kuweka kundi moja UMASIKINI na vitu vya kipuuzi.