Owkey, nimeshapata Piiemu za kutosha kutoka kwa Mabeibez wa Ukwee (Copied from Le Mutuz)
Wito kwa wadada wote ambao bado hamjanitumia Pii Emu zenye Picha zenu ili nithaminishe kabla sijatoa List yangu, fanyeni Hima...
Mie nadhani i am on top of the list. I am beautiful inside out. Kwa hapo sina mpinzani. I hope i feature in forbes manake hela sina
Mie nadhani i am on top of the list. I am beautiful inside out. Kwa hapo sina mpinzani. I hope i feature in forbes manake hela sina
vua kapelo kwanza hiyo tukupimie kama una unywele...
nina shaka la wewe kutokuwepo kwenye list.
Acha Bhange wewe, nani amekuruhusu Ujitaje?:ban:
kweli hunakazi ya kufanya do something ..............
The secretary of course.
your akanana?who?her name pls!!my akanana