Mossad/ Kidon hawa Ni Wauaji Wabobezi Duniani. Ni Robots waliofundishwa Kuua kwa kila aiya ya kifo

Ungeongeza tu kaka, huo urefu wa story ndo utamu wenyewe, we ungeipost kwa jinsi ulivyoiandaa, kila mtu angesoma kwa nafasi yake
 
Hivi mossad kama wangekuwa bora kama tuna to an I wanashindwaje kuwatokomeza Hezbollah
 
Hivi mossad kama wangekuwa bora kama tuna to an I wanashindwaje kuwatokomeza Hezbollah
 
ahsante sana mkuu. dah nimesoma hii kitu mara tatu mara mbili nikiishia njiani mara ya tatu nimeitafutia eneo tulivu nimeisoma nikishushia na bia.

hatari sana Mossad. nawapenda mno watu wa SIRI na mambo yao.
 
Huyu anayeongelewa Mier Dagan ukitaka kujua shughuli yake nenda Google au u tube utakuta. ..ni kiongozi hatari sana wa mossad ila alifariki mwaka 2013 kama sijakosea ila jamaa alikuwa amebobea
Kumbe huwa wanakufa?
 
Back
Top Bottom