inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,571
una concipiracy nyingi kuhusu israel,wanamiliki biashara kubwa ndiyo,ambazo hutoa hela kwa wagombea..lakini hawacontrol all media...ni mainstream media,sasa mitandao kama facebook na online media zinajiendesha kivyao,picha za maovu ya israel dhidi ya palestine 2014 zilipoenea mitandaoni,palizuka maandamano ulaya na biashara za wayahudi kushambuliw,na sasa kuna rise of fascism(spelling) ulaya,hawa wana chuki na wayahudi,nadhani umeona saluti ya nazi wakati wa mechi ya uingereza na bulgariaUnakwama mkuu Israel controls all the media, HOLLYWOOD, political leaders unakumbuka US waliilaumu RUSSIA kuingilia uchaguzi wa US??
Actually ni ISRAEL ndomana Trump amekuwa wa kwanza kuutambua Jerusalem kama capital of Israel
una concipiracy nyingi kuhusu israel,wanamiliki biashara kubwa ndiyo,ambazo hutoa hela kwa wagombea..lakini hawacontrol all media...ni mainstream media,sasa mitandao kama facebook na online media zinajiendesha kivyao,picha za maovu ya israel dhidi ya palestine 2014 zilipoenea mitandaoni,palizuka maandamano ulaya na biashara za wayahudi kushambuliw,na sasa kuna rise of fascism(spelling) ulaya,hawa wana chuki na wayahudi,nadhani umeona saluti ya nazi wakati wa mechi ya uingereza na bulgaria
Kwani mdhamini wa ISIS ni nani?waunde makundi ya kigaidi halafu wasene wamezuia.
Ile ndege ilidunguliwa katika anga la nchi nyingine na wote Urusi na Israel hawakuwa kwao,sasa ulitaka wafanye nini tofauti na vile. Si rahisi nchi iingie vitani kisa ndege iliyokuwa na watu 16 sijui ambayo hata hivo ilidondoshwa na jeshi la Syria. Tena kumbuka system iliyotumika ni S200 kama sikosei ambayo ni zao la Urusi hivo ile ilikuwa kama friendly fireAll in all Israel controls ulaya (mosy of it) US and every powerful state including Russia nomana ile ndege yao iliposetiwa ikatunguliwa na Syria baada wa wiki BIBI na PUTIN wanaongea na wakaisha
Mkuu walisetiwa na ndege za Israel baada ya kombora kurushwa f16 zikasepa na kuiacha indunguliwe ni bonge la mchezoIle ndege ilidunguliwa katika anga la nchi nyingine na wote Urusi na Israel hawakuwa kwao,sasa ulitaka wafanye nini tofauti na vile. Si rahisi nchi iingie vitani kisa ndege iliyokuwa na watu 16 sijui ambayo hata hivo ilidondoshwa na jeshi la Syria. Tena kumbuka system iliyotumika ni S200 kama sikosei ambayo ni zao la Urusi hivo ile ilikuwa kama friendly fire
Mchezo gani sasa. Ile Il-20 ilikuwa kwenye intelligence gathering kipindi amabacho ndege ya Israel ilikuwa kwenye anga hilo,Syria wakarusha kombola kutoka S-200 battery ndo ikaidungua Il-20. Hii mbona simple kujua kuwa Il-20 ni ndege kubwa yenye radar coverage kubwa kuliko fighter yeyote ya kijeshi. Ndo maana kwenye anga lenye vita hawapendi kupitisha ndege za kiraia maana zina radar coverage kubwaMkuu walisetiwa na ndege za Israel baada ya kombora kurushwa f16 zikasepa na kuiacha indunguliwe ni bonge la mchezo
Nyengine hii mechi ya celtic na timu ya israel, uwanja mzima ulijaa Flag za palestineuna concipiracy nyingi kuhusu israel,wanamiliki biashara kubwa ndiyo,ambazo hutoa hela kwa wagombea..lakini hawacontrol all media...ni mainstream media,sasa mitandao kama facebook na online media zinajiendesha kivyao,picha za maovu ya israel dhidi ya palestine 2014 zilipoenea mitandaoni,palizuka maandamano ulaya na biashara za wayahudi kushambuliw,na sasa kuna rise of fascism(spelling) ulaya,hawa wana chuki na wayahudi,nadhani umeona saluti ya nazi wakati wa mechi ya uingereza na bulgaria
Upo sahihi hata Putin na ubabe wake hapindui kwa hawa jamaaCIA haiifikii MOSSAD trust me mkuu? Hawa jamaa wamejipenyeza kima intelligence unit in the world
Shikamoo MOSSAD hili ni shirika hatari kabisa la kijasusi Duniani.Upo sahihi hata Putin na ubabe wake hapindui kwa hawa jamaa
us wanawapa israel $3b kila mwaka za usalama na ulinzi,mbona ipo wazi tuThibitisha Mossad wanapewa 3 billion US dollars na U.S kisha thibitisha tena Hezbollah wako sponsored na Iran
.
Na ole wako ulete uthibitisho kutoka kwenye media America
unanilipa kwani mzee!!!?..kama hutaki si uendelee tu kutotaka kwako,unanikomand kama umeniajiri,simu unayo,googleHivyo ndio umethibitisha?
America foreign aid budget unafahamu ni kiasi gani?
Tusipoteze muda sana, nijibu hayo maswali kisha niwekee ushahidi unaoonyesha America huwa inatoa dola billion 3 kwa IDF na uniambie hizo fedha America anazitoa kwenye mfuko gani kisha tutaendelea
I'm getting my snacks and watch this thread
US finalises deal to give israel $38bl in military aid-ny times,hii habari ya 2016Sikulipi na hakuna atakayekulipa ila nachojaribu kufanya ni kuzuia habari potofu kwanini uandike uongo?
Mimi nasema hivi U.S hatoi hizo dollar billion 3 kwa IDF uache kutudanganya watu wazima kama kitu huna uhakika nacho ni kheri ukanyamaza mpaka pale utakapo thibitisha.
Chuki zako binafsi peleka leba Viva Israel Viva IDF ❤❤