Mkuu nyie wa ajabu. Mnasaidiwa msichinjane wenyewe kwa wenyewe bado mnalamika.Na hiyo " including Turkey " haijatajwa kwa bahati mbaya wanajua kinachoendelea.
Nyie wakina nani? Tunachinjana na nani? Tunamlalamikia nani?Mkuu nyie wa ajabu. Mnasaidiwa msichinjane wenyewe kwa wenyewe bado mnalamika.
Nani hawakanushi?Mbona hawakanushi?
Propaganda
Yule al Baghdad wa ISIS ni Muisrael swafi tu.Mkuu nyie wa ajabu. Mnasaidiwa msichinjane wenyewe kwa wenyewe bado mnalamika.
Mossad ni tawi la CIA.Yap wapo kila sehemu
Utajipenyeza bila bajeti!? Wanapewa $3 bilioni kila mwaka ya ulinzi, Israel ni proxy state ya wazungu Mashariki ya Kati kama Hizbullah kwa Iran.CIA haiifikii MOSSAD trust me mkuu? Hawa jamaa wamejipenyeza kima intelligence unit in the world
Do you know Israel controls US Senate? And most important units.utajipenyeza bila bajeti!?..wanapewa $3b kila mwaka ya ulinzi,israel ni proxy state ya wazungu mashariki ya kati kama hizbullah kwa iran
Do you know ISRAEL controls US Senate? And most important units
Google "Israel sinks US SHIP liberty" ujue jamaa walivyo mafia wahanga wamenyamaza ciz ukiongea unauawa
"The Day Israel Attacked America"
Extensive Interviews with USS Liberty Survivors' - Audio tapes obtained by award winning British film maker Richard Belfield prove what every USS Liberty survivor, former Secretary of State Dean Rusk, and former Chairman of the Joint Chiefs of Staff Admiral Thomas Moorer have said all along...www.military.com
Unakwama mkuu, Israel controls all the media, Hollywood, political leaders; unakumbuka US waliilaumu Russia kuingilia uchaguzi wa US?israel anafanya lobying (sina hakika kama spelling ni sahihi) kwa wanasiasa wa US,akitumia pia main stream media,kwa sasa kipindi cha internet anapata tabu sana kudhibiti habari za ukweli wake,vijana wameanza kujenga chuki dhidi ya israel,hivyo baadae kupoteza ushawishi kwa viongozi wa us,na hivyo kuhatarisha taifa la israel,us anapomnyamazia israel si kwamba hana cha kumfanya ila anaangalia faida kuu ya kumtumia israel kwa maslahi yake