Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 138
R.I.P mountain KILIKulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.Souce:TBC1
hahahaaaaa! Teh teh teh, sipati pichakhaaaa sa na mie ntaenda kutotoa huko si ntakufa uuuuuwiiii
Khaaaa sa na mie ntaenda kutotoa huko si ntakufa uuuuuwiiii[/QU USIJALI SHOGA HUKU UKITOTOA MBONA RAHA!UNATOKA UZAZI UNAWAKA WAKA!
Huku kwetu Arusha joto limefikia 34 centigrade usiku nimelala uchi wa mnyama!
Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.
Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.
Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.
Souce:TBC1
Amkani hali si shwari_yaani hata mnaoishi kwenye nyumba za tembe,.....pole sana mkuu
Kuna waliosema kwamba climate ya sehemu huwa-determined kwa muda wa 30yrs but mimi nakataa,climate haiwezi kuwa constant,it is ever changing.
Kulingana na utabiri wa hali ya hewa uliorushwa na TBC1 jana usiku mjini wa Moshi leo utakuwa na joto kali kuliko yote afrika.
Mjini unaofanana na Moshi utakuwa na Niamey,Niger.
Jamani sijui barafu ya mlima kilimanjaro itapona.
Souce:TBC1
Khaaaa sa na mie ntaenda kutotoa huko si ntakufa uuuuuwiiii[/QU USIJALI SHOGA HUKU UKITOTOA MBONA RAHA!UNATOKA UZAZI UNAWAKA WAKA!
HAHAHAHAHA NADHAN NTAGHAIRI!
Subili June mumy loo!!!Khaaaa sa na mie ntaenda kutotoa huko si ntakufa uuuuuwiiii