Moshi wa bangi ukeni

Duh... wanapoelekea wenzetu kubaya... wanaweza weka mpaka tumbaku.. maana
 
Ulijuaje haya yote,kama na wewe mwenyewe so mhusika na hayo?
 
Miss Natafuta hajakosea kutokana na kustaajabishwa siku nyingi kuwa, kuna kinamama wengine huvuta ugoro kupitia ukeni, kumbe hata bangi!
Ugoro si kwa ajili ya utamu wa kumridhisha mwanaume bali ni nishai aipatayo kwa ajili ya burudani yake hadi anakuwa teja. Bila ya kuweka hajisikii.
Sambamba na hayo mibangi, siyo kwa ajili ya utamu wa kumridhisha mwanaume, bali ikiingia kwenye damu, humzibua mtumiaji mwenyewe.
 
Nahitaji kufunga na kuomba kwa ajili ya Taifa hili....kama ndo tulipofikia hapa![emoji47]
 
...huko mmeenda mbali...ukweli ni kwamba hakuna raha kama kumkaza demu wote mkiwa mmevuta bangi... Yani ukitaka demu asikusahau...vuta bangi alafu mkaze... na ikiwezekana nae awe amevuta....loooh...its amazingly nice...wala haijalishi hata kama hamjanywa pombe....sasa demu akiweka bangi kwenye k basi haitaji kuvuta..ila mwanaume ni poa kuvuta du...utapiga bao kiyama...Angalizo: kuvuta bangi ni kosa na hairuhusiwi...hapa bangi imezungumziwa kama experience yenye kuchagiza ngono tu...kwa anaetaka ku jaribu...
 
Kwa hiyo watoto wanaanza kuvuta bang wakiwa bado in "form of sperms" yaani kabla hata sperms hazijaungana na kuwa mimba tayar mshaanza kuzivutisha bangi. Mtoto anazaliwa na apetite ya kuvuta bangi.
Unashangaa anafika darasa la kwanza anaanza kubaka mbwa kama kule Arusha. Utashangaa mtoto ana nn kumbe ww ndo umemharibu mtoto.

Balaa hilo.
 
Moshi wa bangi jamani unasaidia nin? Huyu shetani tu anwapitia
 
Duuuuuh.
Wanadamu wana mahangaiko mengi sana chini ya jua.
Tatizo katika mahangaiko yote haya hawamshirikishi Mungu wao kwenye mambo nyeti yawasumbuayo
 
wanaume MNA raha sana hayo yote ni kuwafurahisha????

utamu Wa mwanamke ni
- utundu kiasi kitandani
-usafi
-heshima
-mapishi
-upendo

hizo bangi ukeni ni uchawi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…