Moshi VS Tanga...!

Mimi ni mchanganyiko WA Kilimanjaro na Tanga

Kwa kweli wachaga ni watuwa mbali sana na nimeona kwa ndugu zangu ni watafutaji, wakarumu na wana umoja sana sana. Mapungufu ni ulevi na kitu ambacho mie binafsi sikipendi kama mchaga

Kwa upande wa mazeri kwa kweli Tanga hawana mshikamano, kuna majungu na wavivu sana wanafikiria mapenzi all the time. Yani naona mtu akifanya kazi akipata laki mbili tu anaenda kulala aitafune ikiisha basi hapo ndo anakumbuka kazi iko wapi ni wavivu sana wengi wao
 
Huu ukweli wengi wataukataa na niliwaza kitu kama wewe
 
Tanga wanawaza Mapenzi muda mwingi na Wengi wao ni Wavivu sio Me sio Ke kutwa kukaa kwenye Vibaraza Umbeya tu na Vijiwe Vya Kahawa...Takwimu za Taifa Mara ya Mwisho zinakila kitu enhe..
Ndo maana jiji lao la mwisho
 
Huu ukweli wengi wataukataa na niliwaza kitu kama wewe

Huu ukweli wengi wataukataa na niliwaza kitu kama wewe

Hata wakiukataa utabaki tu kuwa ukweli hawawezi kubadilisha uhalisia, wengi wao ni wavivu wachawi washirikina na wanapenda vigoma kila kukicha. Hata birthday ya mtoto wanataka uchange michango ya kpuuzi

Sio Tanga wote wako hivyo ukiwatoa wasamba wengine sijui wadigo, wazigua nk mambo yao ndio niliyoyaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…