Moshi vijijini maji hakuna, ni kero kubwa

Moshi vijijini maji hakuna, ni kero kubwa

unakumbuka barabara iliyoishia mkoring'a ilitakiwa iungane na ya umbwe toka enzi ya kikwete mpaka leo
Yaan ni tatizo, Moshi vijijini kunatatizo kubwa Sana. Kunasehemu zinakosa maji ambapo hukutegemea alafu maji yanavula mipaka ya nchi kwenda kenya
 
Yaan ni tatizo, Moshi vijijini kunatatizo kubwa Sana. Kunasehemu zinakosa maji ambapo hukutegemea alafu maji yanavula mipaka ya nchi kwenda kenya
kabisa ni aibu kubwa mfano vijiji vimepangika na kila kijiji kimetenganishwa na mto na una maji hivi kweli wana akili watu maeneo hayo ni ya kulalamikia maji?
 
Mwika maeneo ya maringa chini...na chini ya barabara (Shokony hadi Makerere)..maji yamekuwa ni kama anasa, aibu kwa mkoa wenye vyanzo vingi vya maji mabomba halafu wananchi hawana maji.
Tatizo ni la muda mrefu zaidi ya miaka hata mitano, kwa kweli viongozi wa haya maeneo wametukwamisha, labda mheshimiwa Aweso afike mwenyewe sasa!
 
asante sana wanaoteseka ni wazazi wetu sisi tunajitahidi kuclear bill lakini hawawatutendei haki watu chemchem hawatumii kama zamani sasa maji ni bomba wengi mcda wa kwenda chechem wanakuwa hawana tena lazima mfumo wa bomba wa zamani uzidiwe pia zamani tulikuwa watoto ni wengi hata kufwata maji chemchem ni rahisi sasa watoto kule ni wachache tofauti na kipindi cha nyuma familia nyingi unakuta ni watu wazima tuu wamesalia.
Hao wanaokuja na hiyo miradi wanatakiwa wawe wanabuni na kuanzisha vyanzo vipya vya maji na siyo kuingilia hivyo vilivyopo. Waanzishe vipya ili wenye uhitaji mkubwa waungane nao. Mloe wananchi waliwakataa baada ya kugundua janja janja yao.
 
Hiyo barabara huwa inaguswaguswa tu
Ni kweli mwaka huu mwanzo I wananchi kupitia Moshi Fm walimuuliza, ni nini sababu ya kukata miti na migomba?. Alijibi kwa dharau sana wananchi wanadai hakukua na lazima kwa kuwa ijenzi kulikuwa hauanzi papo hapo. Hivyo wangeacha ndizi zilizokuwa zinakomaa zimalizike kukomaa alisema ukifika mwezi wa 6 aulizwe barabara juzi nimepiga simu hamna kilichojengwa.
 
Acha mzaha, watu wa mjini hawapati maji sembuse wa vijijini
 
Back
Top Bottom