SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,048
- 8,991
Kutokana na ubovu wa barabara kuanzia zara Tours Bogini, Manosa, Kwa Elia hadi Kahe tunaomba msaada wa dharura kwa wahusika wote, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa wilaya, Mbunge na Madiwani wanaohusika.
Tangu mvua zianze barabara hii imekuwa ni kero kubwa, kuna madimbwi makubwa katikati ya barabara yaani gari ndogo ikipita unaweza kudhani inazama.
Madiwani na mbunge wetu Anthony Komu mko wapi jamani? Igeni Moshi mjini Manispaa wanajenga barabara hadi vichochoroni nyie hata simu hampokei?
Huyo Diwani wa Mabogini ndio hopeless kabisa hata hajielewi ameshindwa hata kuhamasisha wananchi wake tuchangie(kama kweli Halmashauri haina hela) hali ni mbaya sehemu ya kutembea kwa dakika kumi kwa bajaji tunatumia saa nzima.
Jamani tusaidieni.