Moshi vijijini hali ya barabara ni mbaya

n jambo LA dharura maana n mvua za gafla kubwa sana,uchagani hatujui shida hizo litataliwa haraka
Mkuu upo hapo unajisifia sana kupaponda Bk nitazidi kukuumbua hapa ni moshi vijijini
FB_IMG_15273385893918600.jpg
 
Mikoa yote ni shida tuuu apa Tanzania, ingawa wachaga wanapasifia Kilimanjaro ingawa wanaenda kipindi cha sikukuu tuu, maendeleo ya mikoa yote inalingana na ndio Maana uwezi kumkuta MTU mwenye kutaka kutoka kimaisha yupo uko kijijini
 
usijifariji kitakwimu Kilimanjaro n mkoa wa pili kwa maisha bora na makaz bora
mkoa wako kAgera n wa tatu kwa umaskini
aliekwambia wachga wanaend December tu nNi?
nenda Kilimanjaro uone 99% ya investors wote n wenyeji unadhN watu wote wametelekeza mikoa yao kama nyie wa kagera?
 
Aseeeee ukisimuliwa na mchagga habari za kwao unaweza hisi ni newyork, kumbe ni vumbi tu hakuna jipya.
 
una matAtizo,Kilimanjaro ni mkoa wa pili tz kwa mAisha na mAkazi bora
nyumba ya mbuz Kilimanjaro ni nzuri kuliko yako ya kulalA
 
Mbona wachaga niliokutana nao huwa wanasema huko kwao hawana matatizo ya barabara.
 
una matAtizo,Kilimanjaro ni mkoa wa pili tz kwa mAisha na mAkazi bora
nyumba ya mbuz Kilimanjaro ni nzuri kuliko yako ya kulalA
Miafrika bana, kwahiyo kwako wewe mafanikio makubwa ni mbuzi kulala bandani? Muda huo huo kuna wanaume wanapambana kutafuta maisha sayari ya mars, wewe unaongea habari za mbuzi? Jinga kabisa
 
Hiyo habari ya mbuzi ndio mafanikio ya wote maana ndio hua mfano, kijana Tanzania yote mikoa ipo hoi kama una rafiki wa kigeni huko duniani unaona aibu kumtembeza akija kukutembelea. Grow up tunaishi kama hao mbuzi unao ongelea
 
kama kwenu mnalalia nyasi msidhani wote wAnalalia nyasi
 
Miafrika bana, kwahiyo kwako wewe mafanikio makubwa ni mbuzi kulala bandani? Muda huo huo kuna wanaume wanapambana kutafuta maisha sayari ya mars, wewe unaongea habari za mbuzi? Jinga kabisa
wewe ni chizi,ikiwA mbuzi tu zinalala kwenye tailes sasa. binadamu wa huko atakuwa anaishije,,,acheni kucheza baikoko mtaendelea
 
Bado hatuelewani kabisa, hivi kijana umewahi kwenda huko duniani? Unapata wapi ujasiri huo wa kunisimulia kwamba mafanikio yako makubwa ni ufugaji wa mbuzi kwenye vigae?
 
Back
Top Bottom