Hayo mambo ypo na yataendelea kuwepo Sema siku Yao imewafikia..Hao tu bahati mbaya lakini mambo hayo yako kitambo
Watasimamishwa kazi tu kwa muda,huku uchunguzi ukiendeleaExhibit,mambo ya sheria hapo,unaweza shangaa pamoja na kukutwa na magari lakini bado wakaonekana hawana hatia.
wanaitwa wanyang'anyiNdio polis wetu hao,wanaiba na kushirikiana na majambazi.
Hapa ndio kwenye Tatizo.Exhibit,mambo ya sheria hapo,unaweza shangaa pamoja na kukutwa na magari lakini bado wakaonekana hawana hatia.