Yaani kukojoa hovyo kandoni mwa kuta za nyumba , kutupa maganda ya maparachichi , ndizi na miwa barabarani ni pilika za kiuchumi kihivyo? Acha bana. Mimi nilidhani umaskini na uchafu havitenganiki saana . Walioendelea wanajua maana ya usafi zaidi bila shaka. Ili kukutathmini ukoje kiuchumi tunaweza kuangalia level yako ya usafi ikoje pia.
Kwanza jiulize wenyeji wa mji na wenzao wa Meru na Masai kama wanafahamu vizuri tofauti ya usafi na uchafu. Ebo.
Manisapaa imelala doro. Kwishnei. Wakaige huko KILI.
MS hongereni sana .