Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,997
- 3,038
Tupate Amani upendo umoja...ushirikiano na udumu daima.....Shule yetu ufundi Mungu ibariki
Bariki wanafunzi nao walimu.............................,,.,,,,,
Malizieno wimbo huo
Sent using iphone
Dada asha kumbe ni wa zaman hiv duuuh yupoo hadi leodah,mi nakumbuka vichache,kulikuwa na mwalimu m1 anaitwa mpande,dada wa kantini dada Asha,dah kitambo sana
Umepita mwaka gani hapo mkuu?Dada asha kumbe ni wa zaman hiv duuuh yupoo hadi leo
M mwaka 2019 nlianza apo adv nkahamagaaa.Umepita mwaka gani hapo mkuu?
Sawa saw bosM mwaka 2019 nlianza apo adv nkahamagaaa.
mama wa vi mbuzi.Dada asha kumbe ni wa zaman hiv duuuh yupoo hadi leo
Malisa hayupo saiv anaitwa kyaramama wa vi mbuzi.
Headamster malisa bado yupo
class of 2007_2009 form six
Aliondoka Malisa akaja JB MTEMI, na yeye akaondoka akaja KYARA ( walimtoa old moshi alikuwa second master).mama wa vi mbuzi.
Headamster malisa bado yupo
class of 2007_2009 form six
Umemsahau Mama Kimambo, Koba,Mboya,Mlay,Nkya........Shule hii kwa kweli imetoa mchango mkubwa sana kwa upande wa ufundi na kipindi cha nyuma ilikuwa bora kwelikweli. Most of our Engineers wamepitia hapo.
Nawakumbuka waalimu waliokuwa mashuhuri ennzi hizo: Mpande - vijana, Malisa - Additional Maths, Mwasha - Litreture, Nyanza - Electrical, Orbelin - Biology, Dunia - Geography, Pyuza - History.
Huyo atakuwa Kisuu alikuwa Head Master Mtwara Tech ambako nilisoma F1 kabla ya kuhamia Moshi Tech mwaka uliofuata, Kisuu Alikuwa vizuri Mtwara ila watu hubaadilika........Sie malisa aliondoka tkiwa form 6,tkaletewa aliekuwa Bwiru japo shule ilimshnda.
Kisuu?Aliondoka Malisa akaja JB MTEMI, na yeye akaondoka akaja KYARA ( walimtoa old moshi alikuwa second master).
Asprin kumbe nawe mtoto wa Mpande!!!Mkwawa Dorm 25..... wacha kabisa!! Tunawahi magazeti kwa Ugegede pale au kama vipi kuiba nyuka!!
Nahisi utakuwa class Mate wangu mkuu, Je unawakumbuka kina Tawaqal Ally, Eliasante Ulomi,Abdi Mjema ?Danida wapo mkuu Malale nilimkuta kondoka na head master alikuwa Kimario, then akaja Isack Malisa...nilimwacha Malisa pale. Tulikuwa class Moja na mtoto wa Malale.
Shule imechoka sana hasa zile workshops...ulikuwa Unga gani?
Ahaaa sie tulikuwa twamwita Bouncer ila alikuwa mkali wa Englishmakamu wakuu wa shule mara nyingi wanakuwaga wanoko wanoko....namkumbuka Mboya alikuwa makamu kwenye miaka ya tisini mwishoni...alikuwa kitete kweli kweli...
Ndio mkuu, nawakumbuka wote na kina Tabaro, chair Hussein, kina Gift, Peter Nemess nkNahisi utakuwa class Mate wangu mkuu, Je unawakumbuka kina Tawaqal Ally, Eliasante Ulomi,Abdi Mjema ?