habari wanaJF
nimeamua kuanzisha uzi huu kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa elimu na wale wote ambao walipita shule ya sekondari ya ufundi tangu kuanzishwa kwake mnamo 1957 .
Lengo ni kujuana,kukumbushana yale yaliokuwa yakijiri shuleni kwa wakati huo ,na pia kutaka kujua yapi yanaendelea ndani ya shule hiyo.
Pia kufahamu na watu mashughuli wenye mchango mkubwa kwa Taifa letu ambao walisoma hapo na kutambua uwepo wa Elimu katika shule ya ufundi moshi
Binafsi nimesoma hapo kidato cha 5 na 6,combination ikiwa ni pcm.
NB:sio lazima uwe umepita shule hyo ndo uchangie,hata kwa wale wanaoifahamu pia mnakaribishwa
Ngoja nikupe picha afu unambie waijua
Dah umenikumbusha mbali,ofisi hizo nilikuwa naweka pesa za matumizi kwa mhasibu,na hilo jengo chini mess room,hapo bado hujakutana na wajane
Nilimaliza pale form four 2005. Nakumbuka sana mpande alikua anatukimbiza mabwenini. Alikua mtaalam wakukariri visogo vya wanafunzi wakiwawanamkimbia kuelekea orchard, tukaanza mbinu za kujifunika na mashati vichwani wakati wakukimbia nae akatuambia jioni kwenye assmebly 'sasa nimeanza kukariri wowowo kwani mnajifanya wajanja kwakuficha visogo'.
Aliyevua shati alikua anaitwa mzee makabila
Ngoja nikupe picha afu unambie waijua
Huyo wa kushoto sio Ugegede????
bwen gan zuri jaman
Kuna Mwalimu Nkya na Futa walikuwa walimu wa taaluma!Nkya alikuwa mbabe sana!Kibosho road kwenye mbege na kwa Mjapan kwa Mama muuza samaki!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Du wengine ndio
tunaendapo mwezi huu hhebu toeni ushauri kidogo
Comb gan?umetoka xul gani?
pcb,nimetoka pande za kalangalala sec,