MOSHI: Mwanafunzi ajiua kutokana na mshtuko wa kifo cha mama yake

kumsaidia mama yako kunaitaji mjadala mkuu?
Hakuhitaji mjadala mkuu. Nilitaka kumjibu huyo alosema tunawajali mababy zaidi ya mama zetu kwamba hata hao baadhi ya mababy ni wakina mama wenye roho mbaya ambao hawataki tuwasaidie mama zetu.Bahati nzuri nina mke mwema anayempenda mama yangu.
My take: Mjifunze kupendana wanawake roho mbaya na chuki hazijengi. Tunawaheshimu na kuwapenda wakina mama wote.
 
Bado mtoto bwana...Halafu kwani nyie wa kiume hamnaga hisia? Sipendi kweli kuwaambia watoto wa kiume wafiche hisia zako kisa wa kiume.

he just had no one to talk to maskini, asingefikia maamuzi haya
Wanaume tuna hisia sawa lakini we are always expected kuzi hold.... Sa dogo ety kaamua kujiua..... Anyway R. I. P mom ila dogo umekufa kizembe
 
Watu tumekunywa uji kwa jumvi ili tuwasomeshe, tumekula ugali kwa samaki wa kuchoma wa Kigoma ili tuwasomeshe tuwalee. Tumeitwa majina, tumekosa promotion kazini just because we are not married, tumetukanwa matusi na maboss mpaka tumeacha kazi wengine kabla ya muda sababu ya frustrution lakini baada ya kuona wa mwisho kaenda chuo na mchicha unalipa. Sasa umebuma na samaki hailipi sababu vizuizi kibao atajiju na mkopo hana. Nimemtoa mbali lakini
Yaan basi tu watu huku wakiwa nyuma ya key board wanajifanya wanajua sana kutukana na kuwabatiza watu majina ya ajabu bila kujua kuwa wanaumiza mioyo ya watu lkn pia hawajui kilicho nyuma ya haya mambo.
 
Wanaume tuna hisia sawa lakini we are always expected kuzi hold.... Sa dogo ety kaamua kujiua..... Anyway R. I. P mom ila dogo umekufa kizembe
Expected by whom! I don't expect any one to hold their feelings. Ndomana mnakufa mapema kujipa mizigo isiyo ya lazima.
Usikute Huyo mtoto alikuwa anaambiwa hivyo hivyo yakamshinda..
 
Expected by whom! I don't expect any one to hold their feelings. Ndomana mnakufa mapema kujipa mizigo isiyo ya lazima.
Usikute Huyo mtoto alikuwa anaambiwa hivyo hivyo yakamshinda..
Umeongea ukweli mtupu . ..hakuna likitu kibaya kama li ego lisilo na mpango . ..mwanamume ongea na mkeo au dada au mama . ..sisi wanawake tunawajali na kuwapenda sana . ..
 
inauma sana dah gone too soon, r.i.p dogo hapo alikua anawaza mengi san
nakumbuka kipindi nakua ilikua mama akiugua siku nzima ntashinda kitandani na akilala tu namuamsha ili asije kwenda huko huko usingizini.
 
Ila ki ukweli dogo kazingua hakutakiwa kujiua sawa mama ni pigo kubwa sana lakini uamuzi wa kujiua nao ni wa kijinga sana.......... Af mtoto wa kiume kabisa ety bila mama me siwezi kuishi alitegemea akae na mama ake mpk lini???
Mungu akusamehe Sana.
 
Sad news..
Kijana alihitaji msaada...
Nguvu kazi imepotea...

Huyu angepatiwa msaada angekuwa best saana
 
Back
Top Bottom