Duuuuhh kwa kweli wenzetu wa uchagani wana utaratibu mzuri ambao kila mtanzania anapaswa kuiga badala ya kupinga. Ukipita maeneo ya vijijijini kuna shangwe kubwa mnooo ndugu wanajumuika pamoja kwa xmas hadi raha. Moshi mjini traffic wana kazi ya ziada ya kuongoza magari kuepusha ajali kwani magari ni mengi mnooo na watu ni wengi mnoo. Nimependa kwa kweli utaratibu huuuuu.
wanatakiwa kuiga yale mema yanayofanywa na wachagga badala ya kuponda kila kitu,..
Huu ni msimu mahususi kwa sisi wachagga kutembelea ndugu jamaa na marafiki lengo kuu likiwa ni kuwajulia hali na kuwapelekea chochote kama zawadi na kwenda kukagua shughuli mbalimbali za kimaendeleo ambazo katikati ya mwaka ilishindikana kufuatilia,.
Yapo mema mengi yanayofanywa msimu huu wa sikukuu na kufunga mwaka!!
Mkuu Kisinja,hapo Makumba ndio sehemu yangu ya kupotezea Muda mida ya Mchana huku nikila Mvinyo Mbege kwa taratiiiibu nikisubiri ile mida ya Pub Alberto na La Liga ifike nikashike ''Shiuno fyaa Wasungu''