Moshi kuna upepo mkali sana muda huu

Nipo Moshi kuna upepo unavuma si mchezo anga lote ni vumbi tu na huu upepo unatokea kusini magharibi madhara sijajua ila kwangu
macho yashaleta shida
TMA
Kuna haja ya serikali kuwahamishia wachaga wote msomera na maeneo hayo yote walikohamishwa wapewe DPworld wajenge mahoteli ya kitalii na bandari kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…