bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,211
Kile kitubio inabidi ukirudie upya.Tambiko litakuwa limegoma!
Hahahaaaa........ TRA wakikutembelea usiku badala ya mchana ujue kuna tatizo!Kile kitubio inabidi ukirudie upya.
PUB Mchana hawapo! Kwahiyo kuifanya operesheni Usiku ni sahihi! Hakuna namnaHahahaaaa........ TRA wakikutembelea usiku badala ya mchana ujue kuna tatizo!
Serikali iko kazini 24/7 bwashee!PUB Mchana hawapo! Kwahiyo kuifanya operesheni Usiku ni sahihi! Hakuna namna
Mi nakumwaga rohoKama Wiki moja nyuma Hawahawa TRA walivamia 40 40 Bar pale Tabata Bima na kuwatoza faini ya Million 6,
Ilikua hivi,
Afisa wa TRA alienda mpaka Kaunta na kuagiza maji ya 1000 Kilimanjaro, akahudumiwa bila risiti ndipo akatoa kitambulisho na kutaka kukagua mauzo ya Siku hiyo ndipo walipofikia kuwatoza Faini ya 6 Million
Ila baa nying hazitoi risiti na EFD wanazo sijajua utaratibu upoje na kodi zao wanalipaje sijawah enda baa nipewe risiti...Kama Wiki moja nyuma Hawahawa TRA walivamia 40 40 Bar pale Tabata Bima na kuwatoza faini ya Million 6,
Ilikua hivi,
Afisa wa TRA alienda mpaka Kaunta na kuagiza maji ya 1000 Kilimanjaro, akahudumiwa bila risiti ndipo akatoa kitambulisho na kutaka kukagua mauzo ya Siku hiyo ndipo walipofikia kuwatoza Faini ya 6 Million
Vipi kama umemuita hakuitika!Kama Kuna evidence ya mtu kutenda kosa Kuna ubaya gani Kama ukimwita ofisini asubuhi? He usiku huo analipaje hiyo fine au Kodi yako? Je walevi wakiungana na kuwashambulia mtamlaumu Nani?
Utakua una akili za chichidodo. Anyway sibishani nawe endelea na mambo yakoVipi kama umemuita hakuitika!
Kwani hiyo pub ndo ilikuwa inazinduliwa usiku huo, si ipo siku nyingi?
Walevi washambulie kwa maslah gan, kwani ikifungwa bar ndo wamefungiwa kulewa!
Tuwaache wataalam wakati mwingine wafanye kazi,