Moshi/Kilimanjaro forex trading training usipange kukosa

Moshi/Kilimanjaro forex trading training usipange kukosa

Aisee Arifu Moshi hupati mtu chali angu
 
Siku na muda wa kufanyika kwa hii training viwekwe wazi tunaobanwa na kazi za maofisini tuweze kufanya timetable adjustments
 
Kweli eeeh!! Unazungumzia Moshi ipi? Mbona watu wanazidi kujiandikisha..
Arife acheni ubabaishaji tafuteni hela kwa jasho si kufanya vitu vinavyokuja cost watu mbeleni,Hizi network marketing za kuanzia bara asia au kule brazil siyo wazee.
 
Back
Top Bottom