Moshi/Kilimanjaro forex trading training usipange kukosa

Moshi/Kilimanjaro forex trading training usipange kukosa

Kama hujui kitu piga kimya tu! Forex sio ya vilaza inahitaji training ili uweze ku-trade na watz wengi hamtaki kujifunza.
Jiliage pesa mwenyewe kwanini unapata shida ya kufundisha wengine? Lengo lako ni nn? Ama unataka vijana wote wawe matajiri kama wewe
 
Tangazo lenyewe limekaa kiduwanzi sana, sasa wewe utamfundisha nani? Unatoa namba kila mtu akupigie kwa nini usiweke maelezo yaliyokamilika hapa? Mfano eneo, muda, garama n.k.

Wewe ni kama kenge Maji, Moshi hakuna Boya arifu na ukija A town tunakudrllli bila scratch huku ni full kimulimuli
 
  • Thanks
Reactions: SIM
Kama hujui kitu piga kimya tu! Forex sio ya vilaza inahitaji training ili uweze ku-trade na watz wengi hamtaki kujifunza.
Sasa mkuu kama wewe umemaster hii biashara.. Kwann usijifungie upige hela..?

Kama bado haujainyaka vema, ila una uhakika nayo, kwann usitumie huu muda (unaopoteza JF na Moshi kufanya training) ...kukaa na kutrade au kujifunza ili upige hela ndeefu!?

Naona nyie kuhangaika na hizi training ndio kunanifanya nakuwa na mashaka... Kama hela ipo kwenye trading kwann mnahangaika na matraining yasiyokuwa na mchango wowote kwenu?!
 
hahaha watu wanaroho ngumu sana. Mi wakati nasoma International Finance kwa semister nzima yani 4 months lakini nilijioona bado sijaiva kabisa kutrade na FOREX sikuhizi naona watu wanapewa darasa wiki halaf wanaingia mzigoni aisee Hahaha. Mimi ntakua ni jinga saana SHENZ MIMI
 
Mkuu mimi nipo moshi. kwenye hiyo semina kama kuna nyama choma na kinywaji nitahudhuria mkuu naomba mwaliko
 
Back
Top Bottom