Moshi/Kilimanjaro forex trading training usipange kukosa

Moshi/Kilimanjaro forex trading training usipange kukosa

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
1,824
Reaction score
4,384
Habari njema kwa wakazi wa Moshi mjini na maeneo ya jirani, tunategemea kuendesha mafunzo ya Forex trading hivi karibuni. Kujiandikisha piga namba hii 0753953260.
 
Dahhh mazee mmefika mo town tutakuja.
Sema mko kipande ipi tuitane wanakilimanjaro tuje kujua kuhusu forex.
Tuna kiu kubwa sana mi binafsi nipo tayari kuwapa support nikiwa km mwanamoshi aka mwenyeji
 
Dahhh mazee mmefika mo town tutakuja.
Sema mko kipande ipi tuitane wanakilimanjaro tuje kujua kuhusu forex.
Tuna kiu kubwa sana mi binafsi nipo tayari kuwapa support nikiwa km mwanamoshi aka mwenyeji
Tucheki kwa namba hiyo hapo juu mkuu.
 
Hahahaa upatu at work. Hakuna biashara inayolipa bongo kama upatu.com

Hii inaonyesha ni kiasi gani watu ni wavivu na kupenda kuvuna za chap chap
 
Hahahaa upatu at work. Hakuna biashara inayolipa bongo kama upatu.com

Hii inaonyesha ni kiasi gani watu ni wavivu na kupenda kuvuna za chap chap
Una uhakika hayo unayoongea??!
 
Njoo upate shule kuhusu forex. Acha majungu mtoto wa
Kumbe kupigwa kunaendelea?
Kiume. Forex lazima upate training hiyo ni biashara ya kimataifa. Lazima upate training na ufanye demo za kutosha kabla hujaweka hela zako halisi. Vilaza wengi wamepoteza hela zao kwa kuwa hawataki kufundishwa.
 
Back
Top Bottom