Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,622
- 15,951
Hela za wanyonge zilitafunwa Kweli kweli.Wateule wa Hayati bhana!! Yaani mpaka bastola wanataka wanunuliwe kwa kutumia kodi zetu!
Bwashee. Madiwani wa CCM ndo walitenga kwenye bajeti. Tusisahau tangu 2015 manispaa ya moshi inaongozwa na CCM.Chadema walikuwa na matumizi ya ajabu ajabu ya fedha!
Anairudisha Ofisini. Ni mali ya umma atatumia mwingine anayekuja.Je, akitenguliwa bastola itakuwa ya nani
Anairudisha Ofisini. Ni mali ya umma atatumia mwingine anayekuja.Je, akitenguliwa bastola itakuwa ya nani
Fedha ikurudishwa, bastola haitakuwa Mali ya umma tena.Anairudisha Ofisini.ni mali ya umma atatumia mwingine anayekuja.
Bastola ilikuwa bado haijanunuliwa, lakini tayari fedha zilishatengwa kwaajili ya kununua.Fedha ikurudishwa,bastola haitakuwa Mali ya imma tena.
Hapo sawaBastola ilikuwa bado haijanunuliwa, lakini tayari fedha zilishatengwa kwaajili ya kununua.
Bajeti ya huyo hayati ilianza kupitishwa mwezi gani huo mwaka 2015?Wateule wa Hayati bhana!! Yaani mpaka bastola wanataka wanunuliwe kwa kutumia kodi zetu!