Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuniš
Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuniš
Hiki chuo kilikuwa chini ya Mwavuli wa SUA, na wanafunzi waliomaliza kipindi cha nyuma walikuwa wanapewa vyeti vya SUA.
Wanafunzi wake wa fani za Ushirika, Manunuzi na Uhasibu walifafanya vizuri sana kwenye soko la ajira kipindi cha nyuma, sijui kwa sasa product zinazotoka hapo (MOCU), ambapo hawako chini ya SUA.