Mosha amdai Ndesamburo fidia ya shilingi Moja

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Mfanyabiashara Davis Mosha amempa siku saba Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo, kumlipa fidia ya Sh1.25 (Shilingi moja na senti ishirini na tano) kwa madai ya kumdhalilisha.
 
Hehehe in other words Mosha anamaanisha Ndessa hamzidi pesa.
 
Mfanyabiashara Davis Mosha amempa siku saba Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo, kumlipa fidia ya Sh1.25 (Shilingi moja na senti ishirini na tano) kwa madai ya kumdhalilisha.
Ina maana kuwa watu wana muda wa kuonyeshana ubabe wa kifedha,kwa hiyo hapa kazi tu c kitu kwao.
 
Mfanyabiashara Davis Mosha amempa siku saba Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo, kumlipa fidia ya Sh1.25 (Shilingi moja na senti ishirini na tano) kwa madai ya kumdhalilisha.
Mosha anajisumbua sana huyo dogo hivyo alivyoingia kichwa kichwa moshi alitegemea kulichukua jimbo? Hana ubavu sana sana amepoteza resources zake bure
 
Back
Top Bottom