Moses Phiri akataa ofa ya Yanga, asaini Simba SC

Simba wana gain confidence..wale wengine kule upande wa pili wameanza kukosa amani..ngoja waanze kudondosha point kwenye ligi uone watakavyopoteana..
Dadeq zako.. ety wadondoshe point,, tunadondosha points kwa Timu gani kwanza bongo hii.. mtasubir sana mwaka huu..Sisi ndo Mabingwa wa Ligi
 
Back
Top Bottom