Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,510
- 28,417
Ah unauliza hilo bongo Movie na bongo fleva??Basi sawa, Ila wakiachana wasije kuanza kutoana kasoro hapa.
mkuu ukistajabu ya chura utayaona ya supu na house girl wa Diamond ni starDansa wa Diamond naye ni star?
Mlinzi wa daimind wa nyumbani na mlinzi binafsi wote na master man!!!!!Dansa wa Diamond naye ni star?
Dancer wa Diamond, Mose Iyobo amesema kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi na Aunt Ezekiel kumemsaidia mambo mengi katika maisha yake.
Akizungumza na Bongo5, Mose amesema hasa hasa amenufaika sana na umaarufu wa Aunt Ezekiel ambae ni staa mkubwa katika tasnia ya filamu.
“Kuwa na mahusiano na mama Cookie kumenisogeza sana,” alisema Mose. “Kwa sababu ni star wa filamu toka kitambo sana. Mimi nilikuwa najulikana lakini siyo kivile, lakini nilivyokutana na Mama Cookie kuna vitu vingi vimeongezeka katika maisha yangu,” alisema Mose.
Pia Mose amesema mwanae Cookie ataonyeshwa hadharani rasmi kwa mara ya kwanza tarehe 21 mwezi huu baada ya kutimiza mwaka mmoja.
Tunaomba picha ili nasi tuamini kama ww wanyama na huyo binti hapoHuu si mzigo wa waziri wa wanyama wa awamu ilopita?? Huyu anaziba aibu na kesi tu.. Anazuga tu hali huu mzigo na mtoto si wake..
hahaha mkuu hukumsikia #dudubaya anakwambia anashindwa kula mihogo japokuwa anaipenda sababu ni umaarufu.Duuuh mshikaji hii picha umeitoa wapi?
Umaarufu shida jamani khaa