Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 577
- 1,381
Ndipo inafahamika tu CIA na MOSSAD nadhani ndio tasisi za Intelejensia zenye nguvu kwasasa Duniani
KGB imepambwa sana
Tunaona siraha za West ambazo zimeingizwa Ukraine na impact yake kubwa katika vita hiyo HIMARAS na JAVERIN
Wakati tumeona siraha za Urusi ambazo bwana Putin alizipamba sana kwenye hotuba zake ikiwemo Hypersonic Missile, Thermobaric bombs, kifaru cha T-90 na mitambo ya S-300 hadi s-400 ambazo havijatoa matokeo wengi walitarajia
Sasa hapo hazijaanza kuingia vitani Stealth, F-35 na siraha nyingie za NATO
Kibaya tiyari vita imeanza kupiganiwa tiyari kwenye viunga vya Moscow na Putin ameanza kuzoea maisha ya kwenye handaki pale Kremlin. (Nikirejea Hujuma kuanzia viwanda vya Kemikali vya Urusi na tasisi ya tafiti za missiles, bila kusahau kifo cha binti wa Propagandist wa Putin kwa bomu)
Urusi akajipange kakulupuka vita hii( ni sawa na mtu mzima aliekosa busara anaetaka kuheshimiwa sababu ya ndevu lakini mwishoni dogo kagundua udhaifu wa mtu mzima huyo ana ugonjwa wa busha, kwahiyo kadili anavypoleka makofi kwa hasira dogo nae anamjambisha hadharani mbele za watu)
Kwa udhamini: wa Na log z na warusi wa viunga vya Buza, Kiwalani, Tandika na Buguruni kwa mnyamani
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app