MORUWASA ni jipu Morogoro

MORUWASA ni jipu Morogoro

TASK FORCE

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2017
Posts
2,447
Reaction score
3,460
Habari wana JF, nimekuja morogoro kuna eneo nimenunua huku tungi,,nimeanza ujenzi wakuzungushia ukuta kwanza ili kulinda eneo, maji ya kujengea nilikuwa nachota kwenye bomba la jirani kwa kulipia ndoo moja ya lt20 kwa tsh.50/= sasa bwana kilichotokea hawa mamlaka ya maji hapa morogoro wamwekuja na utaratibu ambao hata mtu mwenye kiwango cha elimu ya STD7 hawezi toa amri ya kipuuzi kama hii , ni kwamba wale wote wenye mabomba ni marufuku kuwauzia maji wale ambao hawajavuta mabomba ya maji kwenye nyumba zao.

Kinachotokea sasaivi watu wanakunywa maji machafu hakyamungu,,na ukionekana we mwenye bomba unawauzia maji ambao hawajavuta maji, basi Moruwasa wanakuja kwako wanangoa mita NA wanakukatia huduma ya maji na faini juu,, kibaya zaidi huku wengi ni masikini wa kipato cha chini kabisa, kiasi kwamba asilimia kubwa hawamudu gaharama za kwenda kulipia ili waunganishiwe maji, basi ni mateso huku hamna mfano,,

Aisee kuna viongozi nchi hii hawana akili kumbe MH. Rais huwa akoseagi kuwatimua au kuwatumbua,,sijui kama huu upuuzi mh.Rais anaujua au huyu katibu wake ndg Kitila Mkumbo , , ni unyama kabisa aisee,, nimehamua kwanza kusitisha ujenzi nifanye mpango wa maji,, kibaya zaidi morogoro ndio huna lakuwaambia juu ya ccm au huyo mbunge wao ABOOD
 
Habari wana JF, nimekuja morogoro kuna eneo nimenunua huku tungi,,nimeanza ujenzi wakuzungushia ukuta kwanza ili kulinda eneo, maji ya kujengea nilikuwa nachota kwenye bomba la jirani kwa kulipia ndoo moja ya lt20 kwa tsh.50/= sasa bwana kilichotokea hawa mamlaka ya maji hapa morogoro wamwekuja na utaratibu ambao hata mtu mwenye kiwango cha elimu ya STD7 hawezi toa amri ya kipuuzi kama hii , ni kwamba wale wote wenye mabomba ni marufuku kuwauzia maji wale ambao hawajavuta mabomba ya maji kwenye nyumba zao,,
kinachotokea sasaivi watu wanakunywa maji machafu hakyamungu,,na ukionekana we mwenye bomba unawauzia maji ambao hawajavuta maji, basi Moruwasa wanakuja kwako wanangoa mita NA wanakukatia huduma ya maji na faini juu,, kibaya zaidi huku wengi ni masikini wa kipato cha chini kabisa, kiasi kwamba asilimia kubwa hawamudu gaharama za kwenda kulipia ili waunganishiwe maji, basi ni mateso huku hamna mfano,,

aisee kuna viongozi nchi hii hawana akili kumbe MH. Rais huwa akoseagi kuwatimua au kuwatumbua,,sijui kama huu upuuzi mh.Rais anaujua au huyu katibu wake ndg Kitila Mkumbo , , ni unyama kabisa aisee,, nimehamua kwanza kusitisha ujenzi nifanye mpango wa maji,, kibaya zaidi morogoro ndio huna lakuwaambia juu ya ccm au huyo mbunge wao ABOOD
Mmmh!!!!! tatizo kumbwa ni elimu ya viongozi wetu kutoka juu mpaka chini niwalewale nani ashauri mwenzie
 
Aisee!, wape pole hao wasio na mabomba ya maji. Waambie hiyo ni Serekali ya Jiwe waliyoichagua. Inawapenda.
 
Aisee!, wape pole hao wasio na mabomba ya maji. Waambie hiyo ni Serekali ya Jiwe waliyoichagua. Inawapenda.
Vitu vingine nahisi hata Rais hapaswi kulaumiwa , kuna viongozi wachache wana amri za kukurupuka au kushauriwa na wake zao bila kutumia bongo zao,, mkuu ni kero kweli hadi huruma kwa wananchi hawa masikini aisee,,
 
basi Moruwasa wanakuja kwako wanangoa mita NA wanakukatia huduma ya maji na faini juu,, kibaya zaidi huku wengi ni masikini wa kipato cha chini kabisa, kiasi kwamba asilimia kubwa hawamudu gaharama za kwenda kulipia ili waunganishiwe maji, basi ni mateso huku hamna mfano

Juzi tulisimamishwa njiani tukaambiwa PM yupo hapo, je hakuongea na wananchi wakampa malalamiko yao!?
Kuna member aliuliza swali zuri sana hapa kuwa, kwani wakiuza maji mita hazizunguki?
Huu ni mwanzo mbaya wa ustawi wa wakazi wa mji wa Morogoro, kama lengo ni kila mtu kuwa na bomba lake basi hata wale wanaosambaza maji kwa magari wazuiwe japokuwa najua kuwa mengi ya magari ni ya hao watumishi wa hiyo Mamlaka
 
Nadhani ni utaratibu wa mikoa yote sio morogoro tu.

Kwahiyo wanyonge wanaopiganiwa na Kiongozi mkuu hawastahili kusaidiwa? Je utafiti gani ulifanyika mpaka kufikia uamuzi huo bila kuwashirikisha wadau au watasema ni agizo toka juu

Tazama maji wanayotumia wakazi wa Tungi wasio na mabomba
IMG-20181006-WA0007.jpg
 
Kwahiyo wanyonge wanaopiganiwa na Kiongozi mkuu hawastahili kusaidiwa? Je utafiti gani ulifanyika mpaka kufikia uamuzi huo bila kuwashirikisha wadau au watasema ni agizo toka juu

Tazama maji wanayotumia wakazi wa Tungi wasio na mabombaView attachment 888723
Ni hatari mkuu,kuna jitu hapo juu linakuambia eti ni utaratibu wa kila mkoa,mbona Dar hamna utaratibu wa kishenzi,, ni unyama kabisa ,alietoa iyo amri ingekuwa nchi nyingine ilitakiwa apigwe risasi adharani
 
Nadhani ni utaratibu wa mikoa yote sio morogoro tu.
Nadhani wakati unajaza form ya kuomba maji Huwa kuna kipengere kama hayo maji ni ya matumizi yako binafsi au kuuza pia.Natumaini hao MORUWASA kuna sehemu kuna Sheria inawalinda sidhani kama wamekurupuka
 
Ni hatari mkuu,kuna jitu hapo juu linakuambia eti ni utaratibu wa kila mkoa,mbona Dar hamna utaratibu wa kishenzi,, ni unyama kabisa ,alietoa iyo amri ingekuwa nchi nyingine ilitakiwa apigwe risasi adharani
MORUWASA wapo sahihi,sema labda inabidi watumie tu Busara,ila kiutaratibu wapo sahihi.Kwa vile unapoomba maji lazima useme kuwa hayo maji utatumia binafsi au utauza
 
MORUWASA wapo sahihi,sema labda inabidi watumie tu Busara,ila kiutaratibu wapo sahihi.Kwa vile unapoomba maji lazima useme kuwa hayo maji utatumia binafsi au utauza
Kwaiyo kumpa maji jiran yako ambae hana uwezo wa kuvuta bomba ni kosa..kosa hapo linakujaje?? Maana bili inapoongozeka wao moruwasa ndio wanapata hela si kwamba wanapata hasara , maana wao wapo kibiashara , kadri we matumizi yako ya maji yanapokuwa makubwa kwa kushare bill na jirani zako,,ndio na wao moruwasa wanapopata mapato zaidi,, mfano labda me kwangu natumia kwa mwezi unit kumi,,ila baada yakuanza kuwapatia maji na jirani zangu kwa mtindo wa ku-share bill,now natumia unit 30. Sawa na sh. Elfu hamsini na zaidi,kabla nilikuwa nalipa elfu kumi na nne tu kwa mwezi kwa kutumia mimi tu
 
Nadhani wakati unajaza form ya kuomba maji Huwa kuna kipengere kama hayo maji ni ya matumizi yako binafsi au kuuza pia.Natumaini hao MORUWASA kuna sehemu kuna Sheria inawalinda sidhani kama wamekurupuka
Maji mkuu uuzi,,bali majirani wanakuomba wawe wanachota,bill inapokuja mnashea,na ikitokea bomba limepasuka mnachangia gharama , kama umewai kujenga au umevuta bomba utaelewa kwa maisha ya uswahilini mkuu
 
vumilia mkuu ngoja nimstue mkubwa hapa atawasaidia mda si mrefu.
Fanya ivyo mkuu, hali kwa wakazi wa kule tungi ambao hawajavuta mabomba ya maji na maeneo mengine ni mbaya mkuu,
 
Mamlaka za maji nyingi nchi hii ni full matatizo kwa wananchi yasio na lazima,
Imagine Tanga mjini/jiji ni zaidi ya miezi 10 sasa tunapata maji machafu,ukichota ndoo moja,nusu yake no maji machafu ambayo yana udongo nk.
Na bill za maji zipo palepale japokuwa nusu ya maji ni machafu sana,kama chai ya rangi na yana harufu,najiuliza ina maana Tanga UWASA hawaoni shida hii kwa wananchi?? Walisema mvua za masikika zinaleta tope kwenye mifumo yao ya maji safi,leo no Oktoba hakuna mvua nyingi lakini tatizo lipo palepale.
Inakera aisee!!
 
Habari wana JF, nimekuja morogoro kuna eneo nimenunua huku tungi,,nimeanza ujenzi wakuzungushia ukuta kwanza ili kulinda eneo, maji ya kujengea nilikuwa nachota kwenye bomba la jirani kwa kulipia ndoo moja ya lt20 kwa tsh.50/= sasa bwana kilichotokea hawa mamlaka ya maji hapa morogoro wamwekuja na utaratibu ambao hata mtu mwenye kiwango cha elimu ya STD7 hawezi toa amri ya kipuuzi kama hii , ni kwamba wale wote wenye mabomba ni marufuku kuwauzia maji wale ambao hawajavuta mabomba ya maji kwenye nyumba zao.

Kinachotokea sasaivi watu wanakunywa maji machafu hakyamungu,,na ukionekana we mwenye bomba unawauzia maji ambao hawajavuta maji, basi Moruwasa wanakuja kwako wanangoa mita NA wanakukatia huduma ya maji na faini juu,, kibaya zaidi huku wengi ni masikini wa kipato cha chini kabisa, kiasi kwamba asilimia kubwa hawamudu gaharama za kwenda kulipia ili waunganishiwe maji, basi ni mateso huku hamna mfano,,

Aisee kuna viongozi nchi hii hawana akili kumbe MH. Rais huwa akoseagi kuwatimua au kuwatumbua,,sijui kama huu upuuzi mh.Rais anaujua au huyu katibu wake ndg Kitila Mkumbo , , ni unyama kabisa aisee,, nimehamua kwanza kusitisha ujenzi nifanye mpango wa maji,, kibaya zaidi morogoro ndio huna lakuwaambia juu ya ccm au huyo mbunge wao ABOOD
Yaan mamlaka hizi ni shida, unaweza lipia kila kitu uunganishiwe maji wanakwambia usubiri mpaka siku saba za kazi. Can u imagine tunavocheleweshwa kimaendeleo. Surveyor wao anakuja kupima hana hata kipimio anapima kwa miguu. Yaan ni shida nchi hii
 
MORUWASA wapo sahihi,sema labda inabidi watumie tu Busara,ila kiutaratibu wapo sahihi.Kwa vile unapoomba maji lazima useme kuwa hayo maji utatumia binafsi au utauza
Huduma yenyewe mbovu maeneo kibao wameshindwa kupeleka maji wangapi tumelipia gharama za maji pale nahatujapata huduma hiyo maji yenyewe yatoka kwa zamu halafu uzuie kuwauzia maji majirani sijawahi ona labda bagamoyo ndio wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa karibu kila nyumba inabomba Tena wengi walivuta kwa mkopo wanalipa taratibu
 
Yaan mamlaka hizi ni shida, unaweza lipia kila kitu uunganishiwe maji wanakwambia usubiri mpaka siku saba za kazi. Can u imagine tunavocheleweshwa kimaendeleo. Surveyor wao anakuja kupima hana hata kipimio anapima kwa miguu. Yaan ni shida nchi hii
Umesahau na usafiri umgharamie,km mpo wengi mchange
 
Huduma yenyewe mbovu maeneo kibao wameshindwa kupeleka maji wangapi tumelipia gharama za maji pale nahatujapata huduma hiyo maji yenyewe yatoka kwa zamu halafu uzuie kuwauzia maji majirani sijawahi ona labda bagamoyo ndio wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa karibu kila nyumba inabomba Tena wengi walivuta kwa mkopo wanalipa taratibu
Yaani maajabu,,maji yenyewe ya mgao halafu masharti ya kinyama kabisa,
 
Back
Top Bottom