Mkuu nambo mengine ukiya fikiria sana ndio utajua kwamba baadhi ya sisi ngozi nyeusi tuna upungufu fulani kutokana na tulivyo kuwa Wired by our MAKER - maybe!!! Mwafrika anaye jitambua hawezi kushabikia ukosefu wa UTU wa utawala ya Israel na jeshi lake lenye ukatiri uliyo kithiri - hilo la kwanza, la pili ambalo ndilo la muhimu zaidi - waswahili wamesahau kwamba juzi juzi hapa mmoja wa mawaziri katika Serikali Natenyahu walisena Waafrika hawana tofauti na nyani/sokwe, sina shaka alitoa tamko hilo kwa baraka za Natenyahu mwenyewe, Wayahudi wengi are racist by default wala tusishangae wakitufananishi na Nyani/Sokwe!!
Natenyahu yuko radhi kuhonga baadhi ya Mataifa ya Kiafrika ili yakubali kuwachukuwa Wafrica wanao ishi Israel hawataki Waswahili waendelee kubaki Israel kama wakimbizi or otherwise. Ukatiri wanao wafanyia un armed and defenseless Arabs unafuata mkondo huo huo wa kujiona binadamu ni Wayahundi/wazungu; races zilizokabi si lolote si chochote they deserve to be killed like flies.