Mortar shells strike southern Israel in largest barrage since 2014; 1 injured

Mortar shells strike southern Israel in largest barrage since 2014; 1 injured

Kisasi wayahudi watalipa; that's given. Ile amri ya jino-kwa-jino; jicho-kwa-jicho ni muhimu sana kwenye dini na sheria zao. Ila uzuri always hufanya hivyo baada ya kuchokozwa vinginevyo ni SHALOM hata kwa sisimizi.

IMG_20180525_140304_827.jpg
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji106]
 
Two more sirens 14:46 in Ashkelon. Missiles are flying over Ashkelon and are being shot down by the Iron Dome.

Then 3 Alerts 1 in Sderot now showing on TV as it did during the war.
Missile just intercepted in Sderot 14:55
 
Iron dome vp? Izrael ni joka la kibisa na anachoviziwa sasaivi ni kurudishwa mji wa Dira'a kama haelewe na mpaka milima ya Golan..
Iran,Urusi na Syria upande mmoja US na Izrael upande wa pili.HAPO KINATAFUTWA KIBIRITI.
 
"Though I walk in the valley of the shadow of death, I fear no harm, for You are at my side"
- Psalms 23:4
Israel Soldier
FB_IMG_1527606576920.jpg
 
Iron dome vp? Izrael ni joka la kibisa na anachoviziwa sasaivi ni kurudishwa mji wa Dira'a kama haelewe na mpaka milima ya Golan..
Iran,Urusi na Syria upande mmoja US na Izrael upande wa pili.HAPO KINATAFUTWA KIBIRITI.
Ushabiki maandazi!
 
Hawana jipya; Gaza ya Hamas pro-Iran hao. Kipigo wanatakachozawadiwa wasipige mayowe ya kuonewa sijui kuuliwa watoto na akina mama maana wanawatumia hao hao kama ngao. Tunasubiria kisasi maana hicho hakina mjadala; kitalipwa!
Hizo vurugu nafikiri zimeanzishwa kimkakati..kuna vita inataka kuanza daraa,lazima adui ashughulishwe kwanza
 
China Xinhua News
2 hrs ·
Jeshi la Israel hivi leo limetangaza kuwa kumekuwa na mashambulizi kutoka Ukanda wa Gaza, lakini hakuna mtu aliyejeruhiwa.

Kumekuwa na makombora kadhaa kuelekea kusini mwa Israel hakuna kundi limekubali kuhusika na mashambulizi hayo lakini inaaminika ni Wanamgambo wa Kipalestina

Taarifa kutoka jeshi la Israel inasema kwamba makombora 25 yamerushwa kuelekea sehemu mbali mbali katika eneo hilo la Israel. Mengi ya makombora hayo yamezuiwa na mfumo wa jeshi la Israel wa kuzuia makombora unaojulikana kama Iron Dome.

 
Hawa jamaa hawapatani milele na America ndo inawapa kiburi licha ya uwezo wao binafsi.
 
Wapalestina wanapaswa kuinvest katika elimu ili kujiweka katika nafasi ya kushindana katika hii vita!
 
Hizo vurugu nafikiri zimeanzishwa kimkakati..kuna vita inataka kuanza daraa,lazima adui ashughulishwe kwanza
Uko sahihi. Kwa kawaida Ijumaa ya mwisho ya mfungo imeanzishwa na Iran na maswahiba zake kama siku maalum ya wapalestina - Quds na hufanya mavurugu yao. Ukizingatia hali inayoendelea huko, nadhani mwaka huu wanataka kuifanya "ya kipekee". Intelligence shupavu ya Israel haijalala na haitalala; watachinjwa kama kuku.
 
Kisasi wayahudi watalipa; that's given. Ile amri ya jino-kwa-jino; jicho-kwa-jicho ni muhimu sana kwenye dini na sheria zao. Ila uzuri always hufanya hivyo baada ya kuchokozwa vinginevyo ni SHALOM hata kwa sisimizi.
Lakini kiongozi wao YESU mesaiah alisema waache mambo ya jino kwa jino.
 
Wapalestina wanapaswa kuinvest katika elimu ili kujiweka katika nafasi ya kushindana katika hii vita!
Watasomea wapi ? kwani wana serikali ambayo inaweza kuratibu mchakato mzima wa utoaji elimu ?
kweli israel inaweza ikawapa uhuru huo ?
 
Kisasi wayahudi watalipa; that's given. Ile amri ya jino-kwa-jino; jicho-kwa-jicho ni muhimu sana kwenye dini na sheria zao. Ila uzuri always hufanya hivyo baada ya kuchokozwa vinginevyo ni SHALOM hata kwa sisimizi.


HATA HUKU KWETU AFRIKA WANATUFANYIA SHALOM ???

ONA KAZI HII

 
Back
Top Bottom