Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,642
- 6,071
ha ha ha ha mkuu tutumie nguvu ya umma kumuondoa ubunge na kumfilisi mali zake, kwanza anaviwanda vinaharibu mazingira, ila kwakuwa serikali chini ya dhaifu, ndio mfadhili wao mkoani!!Hivi kwa nini huyo mwarabu asiuwawe?
Huwa nalishangaa sana jeshi la polisi linapokuja swala kama hili. Wamefanya makosa gani?
Mida hii nikiwa hapa morogoro mjini msamvu ambapo polisi wamewatia mbaroni viongozi wa CHADEMA akiwemo na BENSON KIGAAlA.
Subirieni taarifa zaidi.
Tunafunga M4C mkoa wa Moro. Tupo hapa msamvu hali ni mbaya....kitaeleweka tu.Wanaandamana kwaajili ya nini?
Bila shaka RPC wa hapo ni miongoni mwa wale wanaojipendekeza kwa watawala dhaifu,si huyo huyo alizuia uzinduzi wa M4C usifanyike hapo moro mjini badala yake ukafanyikie mikumi,sasa anataka kutumia mbinu hiyohiyo kuzuia na huo mkutano,hivi kupiga watu na mabomu ambao hawajaleta vulugu kunafaida gani zaidi ya kutumia kodi za wananchi vibaya kununulia hayo mabomu,upuuzi sana huu