Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

ccm na police wao wanadhani hata wakitumia silaha wa aina gani madiliko yatafanyika tu. Peoples poooower
 
hi nch hata cjui kwa nn nlzaliwa uku.. Nch ipo kiholela holela..haielewk imekuwa ya wa2 wachache wachache, inaendeshwa kshkaj shkaj, 2nashndwa hata kutofautsha serikani na chama?...ktu knacho itwa maengeleo tz 2sahau...kwa hali hii
 
Hawaja Fanya maandamano CDM Bali walikuwa wakienda kupokea uongozi wa kitaifa wameshawapokea viongozi kwa mabomu na sasa mkutano unaendelea uwanja wa ndege hakuna majeruhi wala marehemu inshallah

Mkuu kama kweli unayosema then its a good news, so far busara inakosekana tu kwa polisi kwa kukimbilia kutumia nguvu sana
 
Nipo ndani nasikia mabomu ya machozi yanapigwa maeneo ya msamvu. Sijapata kujua ni kwanini ? najaribu kufuatilia ili kujua lakini mwenye taarifa anaweza kutujuza
Wewe inaonekana ni mwoga sana, wenzio wapo nje wanaandamana kwenda mkutano wa M4C wewe bila aibu unauliza “nje kuna nini?” au upo honey moon?
ENDELEA NA HONEY MOON ,UKOMBOZI UTAKUJA WENYEWE!
 
hi nch hata cjui kwa nn nlzaliwa uku.. Nch ipo kiholela holela..haielewk imekuwa ya wa2 wachache wachache, inaendeshwa kshkaj shkaj, 2nashndwa hata kutofautsha serikani na chama?...ktu knacho itwa maengeleo tz 2sahau...kwa hali hii
 
Kupiga mabomu na risasi kwa raia ndilo linachangia kwa kiasi kikubwa CCM kuchukiwa na wapiga kura kwao
 
Kuna habari ambazo bado tunahangaika kuzithibitisha kwamba polisi wamemuua muandamanaji mmoja kwa kumpiga na risasi ya moto, ila wamempakia kwenye gari haraka haraka na kuondoka naye kupoteza ushahidi, kama walivyojaribu kukimbia na maiti kule Musoma
 
Yaani Polisi wameua tena!!!! Safari hii kama hakuna polisi anachukuliwa hatua naachia urahia wangu nakuwa Mganda. This is too much
 
Habari nzito RIP Mpambanaji ally zona. ccm siku zenu zinahesabika. nawaombea majeruhi wapone haraka.
 
Kuna habari ambazo bado tunahangaika kuzithibitisha kwamba polisi wamemuua muandamanaji mmoja kwa kumpiga na risasi ya moto, ila wamempakia kwenye gari haraka haraka na kuondoka naye kupoteza ushahidi, kama walivyojaribu kukimbia na maiti kule Musoma
Polisi wamekimbiza Maiti!!! Mwema lazima hawajibikie safari hii. Enough is Enough
 
hi nch hata cjui kwa nn nlzaliwa uku.. Nch ipo kiholela holela..haielewk imekuwa ya wa2 wachache wachache, inaendeshwa kshkaj shkaj, 2nashndwa hata kutofautsha serikani na chama?...ktu knacho itwa maengeleo tz 2sahau...kwa hali hii
 
Habari nzito RIP Mpambanaji ally zona. ccm siku zenu zinahesabika. nawaombea majeruhi wapone haraka.

Mkuu nani tena a rest in piece?? Hakuna marehemu wala majeruhi jamani wangekuweko mkutano usinge endelea au Mimi upande huu niliokaa sioni vizuri au Ngoja nisogee mbele
 
Back
Top Bottom